Mei Mosi: Wafanyakazi wa Tanzania Tutafakari Kama Tunayosababu ya Kusherehekea

Mei Mosi: Wafanyakazi wa Tanzania Tutafakari Kama Tunayosababu ya Kusherehekea

Ila hata Ili ujue vyama vya wafanyakazi viko opposite side Na wafanyakazi/wanachama wake hizo sheria /kanuni/raratibu ziwe za ILO,SERIKALI/Chama chenyewe hawawapii wanachama Wao Ili wajitambue.....hawana press conferences hawatoi matamko....hutasikia hata wana kesi ya madai dhidi ya watawala .....wako kimyaaaa utafikir mambo yote yako shwarii wanakula michango taatibuu......
 
How do we sytart this movement?? Kwa domo kaya hatuna mfano ila kimatendo hakuna. Tutabakia kubwabwaja humu JF tu mwisho; Nothing comes out in action. Tuwapige chini kivipi?? Kwa kuzivania ofisi zao usiku au kwa kuwapelekea vimelea?? Acheni kusema maneno mfu. Ka ni kupigika tumepigika kweli kweli. For 5 yrs
give us a clue dude ,what should we do sio kupayuka. na ku laumu,, why soe desparate. wote tu mevurugwa ila mwenzetu umezd come down and think a possible solution I know tunawahofia WASIOJULIKANA
 
Back
Top Bottom