Sol de Mayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 6,515
- 6,230
Zanzibar niwashauri tu muombe kuungana na jumuia ya AFRIKA YA KASKAZINI, itapendeza sana
Algeria
Morocco
Tunisia
Libya
Zanzibar
Algeria
Morocco
Tunisia
Libya
Zanzibar
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeona hilo jambo? mi nadhani labda ni tatizo, sidhani kama mods wanahusika"Usimwamshe aliye lala"
Moderator hii takataka ya kutupangia idadi ya mameno iondoeni. Msemo huo hapo juu umegoma kupost imebidi niongeze hili povu
Ndio hivyo zanzibar wanazalisha nini hukoUtashangaa hizo pesa zinatoka Tanganyika kunufaisha wazanzibar
Kwani nani aliyelazimisha huo muungano c nyinyi watanganyika cc zamani toka wakati wa Nyerere hatukuutaka muungano wa namna hii cc wakati watanganyika wanaipindua serikali ya Zanzibar tulikuwa na uchumi mkubwa kuliko uchumi wa Tanganyika na kama tungeungana kama Zanzibar tulivyotaka basi Zanzibar tungekuwa mbali sana kiuchumi co kukutegemeeni nyinyi haki zetu zote za kimataifa mmezichukuwa na fedha zetu zote za iliyokuwa jumuia ya afrika mashariki mmezikwapuwa na kuzifanya zenu,sasa kwa taarifa yenu anachfanya Samia sasa ni kutekeleza yale makubaliano baina ya Nyerere na karume waliyokubaliana juu ya mgawano wa mapato ya muungano ambayo viongozi wote wa Tanganyika walikataa kutekeleza kuanzia mwenyewe Nyerere na wote walifutia sasa tunamuuomba rais Samia kabla hajaondoka 2030 atuletee katiba mpya yeye serikali tatu.Hawa viongozi wanachuma Janga ambalo hata sisi tusio na Hatia tutakula nao.... Kama vipi bora tuachane salama tukiachana kwa shari tutamwaga mboga na ugali
Huo muungano usiotegemea location ni batili.Zanzibar niwashauri tu muombe kuungana na jumuia ya AFRIKA YA KASKAZINI, itapendeza sana
Algeria
Morocco
Tunisia
Libya
Zanzibar
noma sanaKila nkilala naoneshwa kodiyangu inavuka bahari kwenda kujenga upande wapili...
Kama Chato ilivyojengwa Sasa nizamu ya visiwa kupaa Kila mtu anajenga nchi yake aliyozaliwa kwanza!!!
Naona huzuni kuwa sehemu ya kuyaona haya yanayofanyika Tanganyika chini ya katiba hii tutatawaliwa apendavyo mwenye ikulu na hata atapanye fedha hashtakiki maisha huku vitu kama loliondo,ngorongoro,bandari nizawazee wavilemba na Badoo awamu yamwisho ndo itakuwa fungakazi
Narudia tena bora tuachane vizuri tukiachana kwa shari usishangae kisiwa hicho kikazama kwa wazanzibara kufukuzwa na kurudishwa huko au kufanyiwa visa...... Hizi chokochoko hazina ustaarabu na watakaoumia ni wa-Zanzibar kutokana na udogo wa kisiwa chao na ukweli kwamba wa-bara ni wachache huko kuliko wa-Zanzibar huku....Kwani nani aliyelazimisha huo muungano c nyinyi watanganyika cc zamani toka wakati wa Nyerere hatukuutaka muungano wa namna hii cc wakati watanganyika wanaipindua serikali ya Zanzibar tulikuwa na uchumi mkubwa kuliko uchumi wa Tanganyika na kama tungeungana kama Zanzibar tulivyotaka basi Zanzibar tungekuwa mbali sana kiuchumi co kukutegemeeni nyinyi haki zetu zote za kimataifa mmezichukuwa na fedha zetu zote za iliyokuwa jumuia ya afrika mashariki mmezikwapuwa na kuzifanya zenu,sasa kwa taarifa yenu anachfanya Samia sasa ni kutekeleza yale makubaliano baina ya Nyerere na karume waliyokubaliana juu ya mgawano wa mapato ya muungano ambayo viongozi wote wa Tanganyika walikataa kutekeleza kuanzia mwenyewe Nyerere na wote walifutia sasa tunamuuomba rais Samia kabla hajaondoka 2030 atuletee katiba mpya yeye serikali tatu.
Zanzibar niwashauri tu muombe kuungana na jumuia ya AFRIKA YA KASKAZINI, itapendeza sana
Algeria
Morocco
Tunisia
Libya
Zanzibar