Meja Generali wa Israel awatisha IDF akisema wapiganaji wa Hamas idadi yao imerudi kama mwanzo.Wako kwenye mahandaki

Webabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2010
Posts
10,509
Reaction score
16,734
Meja generali mstaafu Yitzhak Brik amesema sio kweli kwamba wapiganaji wa Hamas wamedhoofishwa baada ya vita vya miaka miwili.

Meja huyo amesema hata kama viongozi wote wakuu wa Hamas wameuliwa lakini kinyume na madai ya IDF,wapiganaji hao wamejikushanya upya na kurudi idadi yao ile ile au zaidi ya kabla ya oktoba 7 iliyokuwa 40,000.

Akiandika kwenye jarida la Maariv meja Yitzhak amesema idadi kubwa ya wapiganaji hao wako chini kwenye mahandaki yaliyojaa Gaza yote ndio maana wameweza kuendeleza vita vya kuvizia.

Wiki iliyopita peke yake jumla ya askari 22 wa Israel waliuliwa na Hamas na jana wamerusha roketi kuelekea Israel na kusababisha milio ya ving'ora maene ya kusini.

==========================
Israeli (reserve) Major-General Yitzhak Brik says Hamas has regained its pre-war strength, contradicting the Israeli army’s accounts of progress in Gaza, calling the reality on the ground “grim”.

Writing an opinion article published by Israeli news outlet Maariv, Brik claimed that Hamas now numbers about 40,000 fighters, similar to its strength before the war began in Gaza, with many operatives stationed in tunnels.

“They continue to fight as guerrillas as they have been fighting since the beginning of the war,” Brik wrote.
“They were never an army, and therefore they have not lost their military capabilities as the Chief of Staff [of the Israeli Army] claims.”

Source: Aljazeera
 
Hope wanatengeneza mazingira ya kuhalalisha mauaji zaidi na total Occupational ya Gaza
 
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ni hazina ya taifa na kielelezo cha uongozi wa kisasa unaojengwa juu ya hekima, uvumilivu na maono ya mbali. Ni kiongozi ambaye anasimamia misingi ya haki, usawa na maendeleo ya watu wote bila ubaguzi. Ujasiri wake
 
Meja generali mstaafu Yitzhak Brik amesema sio kweli kwamba wapiganaji wa Hamas wamedhoofishwa baada ya vita vya miaka miwili.
Meja huyo amesema hata kama viongozi wote wakuu wa Hamas wameuliwa lakini kinyume na madai ya IDF,wapiganaji hao wamejikushanya upya na kurudi idadi yao ile ile au zaidi ya kabla ya oktoba 7 iliyokuwa 40,000.
Akiandika kwenye jarida la Maariv meja Yitzhak amesema idadi kubwa ya wapiganaji hao wako chini kwenye mahandaki yaliyojaa Gaza yote ndio maana wameweza kuendeleza vita vya kuvizia.

Wiki iliyopita peke yake jumla ya askari 22 wa Israel waliuliwa na Hamas na jana wamerusha roketi kuelekea Israel na kusababisha milio ya ving'ora maene ya kusini.

Retired Israeli general says Hamas fighters back to pre-war numbers​

Israeli (reserve) Major-General Yitzhak Brik says Hamas has regained its pre-war strength, contradicting the Israeli army’s accounts of progress in Gaza, calling the reality on the ground “grim”.
Writing an opinion article published by Israeli news outlet Maariv, Brik claimed that Hamas now numbers about 40,000 fighters, similar to its strength before the war began in Gaza, with many operatives stationed in tunnels.
“They continue to fight as guerrillas as they have been fighting since the beginning of the war,” Brik wrote.
“They were never an army, and therefore they have not lost their military capabilities as the Chief of Staff [of the Israeli Army] claims.” aljazeera
Kosa kubwa La Diaper Force ni kuua watu wasio na hatia, unapomuua mtu asie na hatia maana yake una motivate jamaa zake wapambane dhidi yako na Ile cycle ya resistance inakua haimaliziki ndio maana unakuta wapiganaji wa Hamas hawamaliziki, Mfano kwenye movie ya Braveheart, William Wallace hakua na mpango wowote wa kupigana na wakoloni wa kiengereza, lakini wakoloni hao wakafanya kosa kubwa la kumuua mke wake bila ya hatia yoyote, matokeo yake huo moto aliouwasha wakashindwa kuuzima.
 
Kila juhudi Israel iliyofanya kuwachonganisha wapalestina na Hamas hazijazaa matunda.
Kama ulivyofafanua hapo juu.Watu wa kawaida unawaulia wake na watoto wao na kuwanyima chakula na maji ili wafe kwa njaa hata siku moja hawatailaumu kwa historia ya oktoba 7 iliyoanzia 1947.
 
Meja generali mstaafu Yitzhak Brik amesema sio kweli kwamba wapiganaji wa Hamas wamedhoofishwa baada ya vita vya miaka miwili.
Meja huyo amesema hata kama viongozi wote wakuu wa Hamas wameuliwa lakini kinyume na madai ya IDF,wapiganaji hao wamejikushanya upya na kurudi idadi yao ile ile au zaidi ya kabla ya oktoba 7 iliyokuwa 40,000.
Akiandika kwenye jarida la Maariv meja Yitzhak amesema idadi kubwa ya wapiganaji hao wako chini kwenye mahandaki yaliyojaa Gaza yote ndio maana wameweza kuendeleza vita vya kuvizia.

Wiki iliyopita peke yake jumla ya askari 22 wa Israel waliuliwa na Hamas na jana wamerusha roketi kuelekea Israel na kusababisha milio ya ving'ora maene ya kusini.

Retired Israeli general says Hamas fighters back to pre-war numbers​

Israeli (reserve) Major-General Yitzhak Brik says Hamas has regained its pre-war strength, contradicting the Israeli army’s accounts of progress in Gaza, calling the reality on the ground “grim”.
Writing an opinion article published by Israeli news outlet Maariv, Brik claimed that Hamas now numbers about 40,000 fighters, similar to its strength before the war began in Gaza, with many operatives stationed in tunnels.
“They continue to fight as guerrillas as they have been fighting since the beginning of the war,” Brik wrote.
“They were never an army, and therefore they have not lost their military capabilities as the Chief of Staff [of the Israeli Army] claims.” aljazeera
Hahahaha.....Amerika aliamua kukimbia Talibani baada ya kuona hawaishi.
 
Kila juhudi Israel iliyofanya kuwachonganisha wapalestina na Hamas hazijazaa matunda.
Kama ulivyofafanua hapo juu.Watu wa kawaida unawaulia wake na watoto wao na kuwanyima chakula na maji ili wafe kwa njaa hata siku moja hawatailaumu kwa historia ya oktoba 7 iliyoanzia 1947.
Uko sahihi, Israeli wameanza kuwadhulumu na kuwaonea wapalestina tokea 1947, na dhulma hii wanaifanya kwa kua wanaungwa mkono na Marekani, na hawana nia ya amani , nia yao kubwa wapalestina wakimbie ardhi yao wawaachie wao, ndio maana kila siku wanaendelea kuiba ardhi ya wapalestina, lakini wapalestina wakipigana kulinda ardhi yao chache iliobakia wanaitwa magaidi
 
Meja generali mstaafu Yitzhak Brik amesema sio kweli kwamba wapiganaji wa Hamas wamedhoofishwa baada ya vita vya miaka miwili.
Meja huyo amesema hata kama viongozi wote wakuu wa Hamas wameuliwa lakini kinyume na madai ya IDF,wapiganaji hao wamejikushanya upya na kurudi idadi yao ile ile au zaidi ya kabla ya oktoba 7 iliyokuwa 40,000.
Akiandika kwenye jarida la Maariv meja Yitzhak amesema idadi kubwa ya wapiganaji hao wako chini kwenye mahandaki yaliyojaa Gaza yote ndio maana wameweza kuendeleza vita vya kuvizia.

Wiki iliyopita peke yake jumla ya askari 22 wa Israel waliuliwa na Hamas na jana wamerusha roketi kuelekea Israel na kusababisha milio ya ving'ora maene ya kusini.

Retired Israeli general says Hamas fighters back to pre-war numbers​

Israeli (reserve) Major-General Yitzhak Brik says Hamas has regained its pre-war strength, contradicting the Israeli army’s accounts of progress in Gaza, calling the reality on the ground “grim”.
Writing an opinion article published by Israeli news outlet Maariv, Brik claimed that Hamas now numbers about 40,000 fighters, similar to its strength before the war began in Gaza, with many operatives stationed in tunnels.
“They continue to fight as guerrillas as they have been fighting since the beginning of the war,” Brik wrote.
“They were never an army, and therefore they have not lost their military capabilities as the Chief of Staff [of the Israeli Army] claims.” aljazeera
Huu mziki sio wa kuisha leo wala kesho watu wanaangamia huko kwakweli kunahitajika juhudi kuuzima huu mgogoro.
 
Subiria majibu kutoka kwa waisraeli wa jf
Kama wanaongezeka kwanini wasipigane vita na jeshi la Israel? 😁😁😁😁
Ujinga sana, unashikilia mateka 50 ila kwa siku 10 zaidi wa wapalestina 100 wanakufa halafu wanasema Hamas wameshinda vita.
Hii post ya tarehe 8 mpaka siku 10 angalia wapalestina wangapi watakufa.
 
Huu mziki sio wa kuisha leo wala kesho watu wanaangamia huko kwakweli kunahitajika juhudi kuuzima huu mgogoro.
Tulisema zamani tujitayarishe kushuhudia maajabu ya dunia Gaza na Palestina,
Jitu kubwa kuangushwa na mtu dhaifu.
 
Meja generali mstaafu Yitzhak Brik amesema sio kweli kwamba wapiganaji wa Hamas wamedhoofishwa baada ya vita vya miaka miwili.

Meja huyo amesema hata kama viongozi wote wakuu wa Hamas wameuliwa lakini kinyume na madai ya IDF,wapiganaji hao wamejikushanya upya na kurudi idadi yao ile ile au zaidi ya kabla ya oktoba 7 iliyokuwa 40,000.

Akiandika kwenye jarida la Maariv meja Yitzhak amesema idadi kubwa ya wapiganaji hao wako chini kwenye mahandaki yaliyojaa Gaza yote ndio maana wameweza kuendeleza vita vya kuvizia.

Wiki iliyopita peke yake jumla ya askari 22 wa Israel waliuliwa na Hamas na jana wamerusha roketi kuelekea Israel na kusababisha milio ya ving'ora maene ya kusini.

==========================
Israeli (reserve) Major-General Yitzhak Brik says Hamas has regained its pre-war strength, contradicting the Israeli army’s accounts of progress in Gaza, calling the reality on the ground “grim”.

Writing an opinion article published by Israeli news outlet Maariv, Brik claimed that Hamas now numbers about 40,000 fighters, similar to its strength before the war began in Gaza, with many operatives stationed in tunnels.

“They continue to fight as guerrillas as they have been fighting since the beginning of the war,” Brik wrote.
“They were never an army, and therefore they have not lost their military capabilities as the Chief of Staff [of the Israeli Army] claims.”

Source: Aljazeera
Nilipoona tu Source ni Aljazeera nikajua tu kuna maneno ya kuwatia moyo Magaidi baada ya kipondo kutoka majeshi ya Israel
 
Nilipoona tu Source ni Aljazeera nikajua tu kuna maneno ya kuwatia moyo Magaidi baada ya kipondo kutoka majeshi ya Isy
Aliyezungumza ni meja jenerali mstaafu na wa mwanzo kuripoti ni gazeti la Israel
 
Mstaafu anajuaje yaliyoko Mstari wa Mbele? Hayo ni maneno tu ya kujifariji na kujipa moyo kwa kisingizio cha Jenerali mstaafu!!!
 
Back
Top Bottom