Meja Generali wa Israel awatisha IDF akisema wapiganaji wa Hamas idadi yao imerudi kama mwanzo.Wako kwenye mahandaki

Meja Generali wa Israel awatisha IDF akisema wapiganaji wa Hamas idadi yao imerudi kama mwanzo.Wako kwenye mahandaki

Mstaafu anajuaje yaliyoko Mstari wa Mbele? Hayo ni maneno tu ya kujifariji na kujipa moyo kwa kisingizio cha Jenerali mstaafu!!!
Jee ni kweli kuwa wewe unajua zaidi kuliko meja jenerali hata awe ni mgonjwa.
Mimi kufarijika kwangu ni kuwa hayo hayasemwa na Hamas.
 
Back
Top Bottom