Meja Jenerali wa Kirusi auawa huko Ukraine

Libya au umezaliwa lini, NATO sio mchezo ukisikia no fly zone urusi inachakazwa ndani ya week mo
na mbona Waafrica wanamlaumu Obama kwa Mauaji ya Gadafi badala ya NATO.
As an alliance of 31 sovereign countries, NATO relies on military forces of its member countries to carry out operations or mission as it does not possess military forces of its own. Thus why after Gadafi was killed all blames was upon Baraka Obama and USA and not NATO. NATO is among very weak and useless alliances that can never attempt to do anything up on Russia. Doing anything means WW3 becoz long missiles now from North Korea to US, from US to Russia etc will be observed, thus why mtoa hoja amedai zaidi ya nchi 30 zinapambana na Russia
 
Mambo mengi muda mchache, vijana wameamua....tunafika Crimea hivi hivi.


Major-general Sergey Goryachev died in fighting in the Zaporizhzhia region (Pictures: East2West News)

Vladimir Putin is facing fresh woes after one of his generals was killed in a missile attack.

Major-general Sergey Goryachev, 52, died during fighting in the Zaporizhzhia region, which has recently seen major action in Ukraine’s counter-offensive.

Goryachev was chief of staff of the Russian 35th Combined Arms Army and is one of 11 generals to be officially classed as casualties in the war – the first this year.

Pro-Moscow war correspondent Yuri Kotenok wrote yesterday: ‘War takes the best. The army lost one of the brightest and most effective military leaders, who combined the highest professionalism with personal courage.
 
Piga mbwa hao!! zama za kuoneana kipumbavu zilishaisha, na hii vita ikiisha sidhani kama Urusi watarudia huu ujinga wa kuvamia majirani zake.
Kabisa Urusi lzm ajifunze kuheshimu majiran
 
Kwamba ww unavyoiona west ni zaid ya Putin , kama wangekuwa laini hivyo Putin angejirusha nao tu sip kujitetea usiku kucha siku ile mabaki ya mabomu yalipotua Poland
 
Sasa waulize kinachowazuia ni kitu gani kwenda kummaliza huyo mRusi moja kwa moja, na badala yake wanamtumia chambo wao Ukraine kufanya kazi ambayo wao wangeimaliza harakaharaka na kuondoa tatizo.
Kwan Ukraine aliivamia Urusi au Urusi aliivamia Ukraine , unajuwa unaeza kuwa mwehu usijijue ,Urusi kaivamia Ukraine wala hajaivamia NATO , kama yeye kidume aguse aone kinachotokea asubui na mapema tu
 
Akil umeziacha wap ? Kama ni weak kwann Urusi anazuia Ukraine asijiunge na NATO? , jmn kuna vitu mnaandika wajukuu zetu watakuja kujuta kutumia majina yenu ya ukoo maana yatakuwa na aibu ya uzezeta wa babu zao ( nyinyi ).
 
Akil umeziacha wap ? Kama ni weak kwann Urusi anazuia Ukraine asijiunge na NATO? , jmn kuna vitu mnaandika wajukuu zetu watakuja kujuta kutumia majina yenu ya ukoo maana yatakuwa na aibu ya uzezeta wa babu zao ( nyinyi ).
Kama NATO sio weak na useless mbona wanachama wake wanajificha nyuma ya Ukraine, mbona iyo strong NATO haijitokezi dhahiri shahiri kutwa nzima vikao na propeganda za vitisho, wanajua kabisa miongoni mwa nchi 31 za NATO miongoni mwao hawataunga mkono wala kuchangia chochote kuivamia Russia kwasabb wana maslahi na hawana ugomvi na Urusi huo ustrong wa NATO utatoka wap?
 
Ukraine wanafanya ukatili mkubwa dhidi ya wanajeshi wa Urusi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…