Meja Jenerali wa Kirusi auawa huko Ukraine

Meja Jenerali wa Kirusi auawa huko Ukraine

Sasa waulize kinachowazuia ni kitu gani kwenda kummaliza huyo mRusi moja kwa moja, na badala yake wanamtumia chambo wao Ukraine kufanya kazi ambayo wao wangeimaliza harakaharaka na kuondoa tatizo.
Uwezo wako wa ku reason upo chini sana, na hii inatokana lishe mbovu uliyokuwa unapewa wakati ukiwa bado mdogo.
 
Kama NATO sio weak na useless mbona wanachama wake wanajificha nyuma ya Ukraine, mbona iyo strong NATO haijitokezi dhahiri shahiri kutwa nzima vikao na propeganda za vitisho, wanajua kabisa miongoni mwa nchi 31 za NATO miongoni mwao hawataunga mkono wala kuchangia chochote kuivamia Russia kwasabb wana maslahi na hawana ugomvi na Urusi huo ustrong wa NATO utatoka wap?
Uwezo wako wa ku reason upo chini sana, na hii inatokana lishe mbovu uliyokuwa unapewa wakati ukiwa bado mdogo.
 
Hiii vita Russia imeshamshindaa, angerudi nyumbani kujiandaa upya tenaa. Vita alioikadiria wiki Moja Sasa imekuwa ya kudumuu. Na akishindwaa ndio atachakaaa zaidiii saaana. Kiufupi jamaa hiii vita alikurupuka saana.
Akirudi nyumbani Urusi atalazimishwa ailipe fidia UKRAINE kwa uharibifu na Putin atapelekwa the Hague kwa mauaji ya waukraine wasio na hatia
 
Uwezo wako wa ku reason upo chini sana, na hii inatokana lishe mbovu uliyokuwa unapewa wakati ukiwa bado mdogo.
🤓 kwamba hivi ndivyo umehitimisha kwa ufasaha nguvu ya useless NATO😂. Asant nashukuru mbobevu kwa changamoto
 
[emoji851] kwamba hivi ndivyo umehitimisha kwa ufasaha nguvu ya useless NATO[emoji23]. Asant nashukuru mbobevu kwa changamoto
Uwezo wako wa ku reason upo chini sana, na hii inatokana lishe mbovu uliyokuwa unapewa wakati ukiwa bado mdogo.
 
Sasa waulize kinachowazuia ni kitu gani kwenda kummaliza huyo mRusi moja kwa moja, na badala yake wanamtumia chambo wao Ukraine kufanya kazi ambayo wao wangeimaliza harakaharaka na kuondoa tatizo.
Wanamtumiaje Ukraine? Wakati UKRAINE hakuanzisha vita bali alivamiwa na majeshi ya Putin walioanzisha vita vya kichokozi visivyo na mashiko NATO hawataki kuingilia kwa sababu vita visiwe vikubwa wanachofanya ni kumpa Ukraine silaha za kujilinda na kukomboa maeneo yao yaliyotekwa na Russia
 
Uwezo wako wa ku reason upo chini sana, na hii inatokana lishe mbovu uliyokuwa unapewa wakati ukiwa bado mdogo.
🤓 Kweli hii vita ni ya fikra, sawa mkuu NATO ana majeshi yenye nguvu mno,ataichakaza Russia kwa muda mfupi sana 😜
 
Nakazia [emoji38]
Screenshot_20230613-131220.jpg

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Meja General wa Kirusi kauawa huko Zaporizhzhia baada ya sehemu alipokuwa kupigwa Mzinga.

===========

Russian media reported on Monday that a Ukrainian missile strike on the southern Zaporizhzhia front killed an experienced Russian general.

“As a result of an enemy missile attack, the Chief of Staff of the 35th Combined Arms Army, Maj Gen Sergei Goryachev, was killed,” the prominent pro-war blogger Voenkor said in a Telegram post.

Goryachev, a decorated commander, previously led Russian troops in Moldova’s breakaway region of Transnistria.

Voenkor added that “according to representatives of the command of the United Group of Forces (S), the army has lost today one of the brightest and most effective military leaders”.

Several Russian war bloggers said Goryachev was likely killed by a UK-supplied Storm Shadow cruise missile.

The Russian defence ministry is yet to comment on the reported death of Goryachev.

More than a dozen Russian generals are believed to have been killed since Moscow invaded Ukraine.

The Zaporizhzhia region, of which about 80% is controlled by Russian forces, is believed to be one of the main focuses of Ukraine’s counteroffensive.
Sasa unamuongelea huyo? Mbona mkuu wa usalama wa Ukraine alitwangwa kinzal ya kichwa mpaka leo mko kimya? Vipi mkuu wa jeshi wa Ukraine yuko wapi?
 
Sasa waulize kinachowazuia ni kitu gani kwenda kummaliza huyo mRusi moja kwa moja, na badala yake wanamtumia chambo wao Ukraine kufanya kazi ambayo wao wangeimaliza harakaharaka na kuondoa tatizo.
Ukraine ametumiwa vipi na NATO??
Ni kama ilivyotumiwa Finland? Mbona haijavamiwa??
 
Sasa unamuongelea huyo? Mbona mkuu wa usalama wa Ukraine alitwangwa kinzal ya kichwa mpaka leo mko kimya? Vipi mkuu wa jeshi wa Ukraine yuko wapi?
Anaitwa Nani tukuonyeshe alipo? Wenzako wamemtaja na jina na cheo chake.

Mtaje huyo wa Ukraine tukuonyeshe alipo.
 
Wanamtumiaje Ukraine? Wakati UKRAINE hakuanzisha vita bali alivamiwa na majeshi ya Putin walioanzisha vita vya kichokozi visivyo na mashiko NATO hawataki kuingilia kwa sababu vita visiwe vikubwa wanachofanya ni kumpa Ukraine silaha za kujilinda na kukomboa maeneo yao yaliyotekwa na Russia
Wewe endelea kuamini hivyo hivyo, naona huyajui maswala ya dunia hii.

Wewe hapa kila siku unapigana vita ya kuondoka kwenye umaskini wa kutupwa, ulishasikia hao wajomba zako wakikumiminia misaada kama wanayoimwaga Ukraine, ili ushinde hiyo vita yako?
Sana sana wanachofanya ni kutoa vimisaada vya kuzima akili na kuzilaza fofofo, kama unavyoonyesha hapa.
 
Ukraine ametumiwa vipi na NATO??
Ni kama ilivyotumiwa Finland? Mbona haijavamiwa??
Ingetokea Urusi kamuweza Ukraine
Finland angevamiwa na Taiwan ingevamiwa
 
Ukraine ametumiwa vipi na NATO??
Ni kama ilivyotumiwa Finland? Mbona haijavamiwa??
Ni mRusi pekee ndiye anayejua usalama wake ulipo na tishio la kushughulikiwa kwa haraka ni lipi. Tusitafute ujuzi wa kumwamlia lipi afanye na lipi asifanye.
 
Back
Top Bottom