Ni mRusi pekee ndiye anayejua usalama wake ulipo na tishio la kushughulikiwa kwa haraka ni lipi. Tusitafute ujuzi wa kumwamlia lipi afanye na lipi asifanye.
"Amuweze" vipi tena, si hadi sasa maeneo ya Ukraine yeshatangazwa kuwa ni sehemu ya Urusi? Kuna kuweza zaidi ya hapo?Ingetokea Urusi kamuweza Ukraine
Finland angevamiwa na Taiwan ingevamiwa
Sawa kabisa.Lazima kuwepo na International order inayoongoza utendaji, kusomeka na kueleweka kwa mataifa. Vinginevyo kila mwehu akiamka na kusema hayo maneno yako dunia haitatawalika, itakuwa uwanja wa vurugu tupu.
Wengi hawaelewei jinsi gani uimara wa Ukraine na msimamo thabiti wa West dhidi ya Putin na uvamizi wake umevuruga kabisa ndoto zake za kulazimisha matakwa yake kwa majirani zake kwa nguvu, vitisho na vurugu za vita. Hii itasaidia kudumisha amani Ulaya kwa muda mrefu sana. Hakuna nchi nyingine itavamiwa na Urusi kirahisi kwa siku za karibuni.Ingetokea Urusi kamuweza Ukraine
Finland angevamiwa na Taiwan ingevamiwa
Mfano yapi waliyolazimisha??Sawa kabisa.
Sasa usisahau kwamba hao rafiki zako ndio waliokuwa mstari wa mbele kuhimiza wanayoona ya kwao ndio "international order" ya kufuatwa kwa amri na mataifa mengine yote duniani.
Rest in hell cammander
Na uchumumi wake utakua kama zimbabwePiga mbwa hao!! zama za kuoneana kipumbavu zilishaisha, na hii vita ikiisha sidhani kama Urusi watarudia huu ujinga wa kuvamia majirani zake.
Ngoja nikupe mfano mwepesi mwepesi, lakini kuna mazito zaidi ya hapo.Mfano yapi waliyolazimisha??
Je kati ya Ukraine na Urusi nani aliyemvamia mwenzake nakuanzisha vita vya kichokozi?Wewe endelea kuamini hivyo hivyo, naona huyajui maswala ya dunia hii.
Wewe hapa kila siku unapigana vita ya kuondoka kwenye umaskini wa kutupwa, ulishasikia hao wajomba zako wakikumiminia misaada kama wanayoimwaga Ukraine, ili ushinde hiyo vita yako?
Sana sana wanachofanya ni kutoa vimisaada vya kuzima akili na kuzilaza fofofo, kama unavyoonyesha hapa.
Kwamba West wamewalazmisha Africa Kusini au Brazil ambao ni wanachama wa BRICS kuruhusu ndoa za ushoga kwenye nchi zao??Ngoja nikupe mfano mwepesi mwepesi, lakini kuna mazito zaidi ya hapo.
USHOGA.
Imekuwa congo?😂Tuwe na akiba ya maneno, hawa baadae hua tunaona wanaapishwa kutumikia vitengo vingine, sijui huwa wanafufuka!
Vipi na Iddi Amini alipoivamia Tanzania nakutaka kuichukua kagera kulikuwa nae na tishio kwa Uganda na alikuwa anatafuta usalama wa Uganda?Ni mRusi pekee ndiye anayejua usalama wake ulipo na tishio la kushughulikiwa kwa haraka ni lipi. Tusitafute ujuzi wa kumwamlia lipi afanye na lipi asifanye.
Ukikubali kuwa "chambo" na kutumika kumnasa samaki, ni lazima uwe tayari kwa matokeo yatakayokukuta, ikiwa ni pamoja na huko unakokuita wewe "kuvamiwa".Je kati ya Ukraine na Urusi nani aliyemvamia mwenzake nakuanzisha vita vya kichokozi?
Unakuaje chambo kwa mfano? Ni jambo gani ukilifanya unahesabika umekubali kuwa chambo??Ukikubali kuwa "chambo" na kutumika kumnasa samaki, ni lazima uwe tayari kwa matokeo yatakayokukuta, ikiwa ni pamoja na huko unakokuita wewe "kuvamiwa".
hayo a Afrika Kusini au Brazil siyajui, lakini ninachojua ni kuwa hao jamaa zako ni 'snobbish' sana. Hawajasahau kuwa walikuwa na 'privilege' ya kuiendesha dunia yote watakavyo wao. Bado wanaamini kwamba dunia ni lazima iwe kama walivyo wao, vinginevyo hivyo viwango vingine vya maisha ya watu havikidhi viwango.Kwamba West wamewalazmisha Africa Kusini au Brazil ambao ni wanachama wa BRICS kuruhusu ndoa za ushoga kwenye nchi zao??
Alikubalije kuwa chambo embu elezea?Ukikubali kuwa "chambo" na kutumika kumnasa samaki, ni lazima uwe tayari kwa matokeo yatakayokukuta, ikiwa ni pamoja na huko unakokuita wewe "kuvamiwa".
Ukitaka mifano ya aina hiyo ipo mingi sana, kama Iraq na kwingineko.Vipi na Iddi Amini alipoivamia Tanzania nakutaka kuichukua kagera kulikuwa nae na tishio kwa Uganda na alikuwa anatafuta usalama wa Uganda?
Kwamba NATO haina Mandege? Akili yako ina uwezo wa Kushangilia uuzwaji wa Bandari za Tanganyika? Hivi US na Mandege yake ilijitoa lini kwenye shirika la NATO?NATO wana mandege? Wameyatoa wap,aise? Yaliwahi kutumika wapi kwa mfano 🤔
hayo a Afrika Kusini au Brazil siyajui, lakini ninachojua ni kuwa hao jamaa zako ni 'snobbish' sana. Hawajasahau kuwa walikuwa na 'privilege' ya kuiendesha dunia yote watakavyo wao. Bado wanaamini kwamba dunia ni lazima iwe kama walivyo wao, vinginevyo hivyo viwango vingine vya maisha ya watu havikidhi viwango.