MBOKA NA NGAI
JF-Expert Member
- Jan 31, 2025
- 350
- 576
Hivi, unajua hata mwanajeshi kwa roho ya kawaida anaangalia na vigezo vya kupigana? Wenzao walishahukumiwa kufungwa maisha. Mwanajeshi mtutsi, usifikilie ni rahisi kupigana na M23. Wengine walishajiweka mikononi mwa Red-Tabara. Inayosubili tu njia ya kuungana na M23. Hivi ni vita vya watu wanaojuana wenyewe, haviko serious kivile. Unaweza ukakuta hao 4k nusu yake hawana mpango. Wanashitakiana usaliti. Unaanzaje sasa!!!M23 wapo wangapi kama hadi jeshi la watu 4k wana jambishwa ,tena majeshi ya nchi mbalimbali
Kwanini hamumlaumu Kagame muda wote kuhangaika na mambo ya Congo?Warundi wanafia nini Kongo wakati asilimia kubwa ya Wananchi wao huwa wanalala na njaa.
Hizo fedha wanazotumia huko Kongo kununua risasi na Mabomu angalao wangekuwa wanawapa koo masikini za Burundi.
Burundi pia ilikuwa ni himaya ya Wafalme wa Kitutsi, wamrudishe Mwami tu. Nchi itulie.Burundi ikiachia M23 wachukue kivu yote maana yake watakuwa wamezungukwa! Next target itakuwa Burundi yeneyew
Ni jeshi zima la Rwanda ni vibaka kadhaa wa kitutsi nchini congoM23 wapo wangapi kama hadi jeshi la watu 4k wana jambishwa ,tena majeshi ya nchi mbalimbali
Kwa hiyo na hapa Bongo tuwarudishe Wakoloni na Masultan?Burundi pia ilikuwa ni himaya ya Wafalme wa Kitutsi, wamrudishe Mwami tu. Nchi itulie.
Vita ni biashara, nipe jeshi, nikupe dhahabu...baasiWarundi wanafia nini Kongo wakati asilimia kubwa ya Wananchi wao huwa wanalala na njaa.
Hizo fedha wanazotumia huko Kongo kununua risasi na Mabomu angalao wangekuwa wanawapa koo masikini za Burundi.
Ni nani anayefaidika na hiyo biashara?Vita ni biashara, nipe jeshi, nikupe dhahabu...baasi
Hao Wakoloni na Masultani hawakuwa Watanzania walikuwa ni Wavamizi.Kwa hiyo na hapa Bongo tuwarudishe Wakoloni na Masultan?
Kama tupo serious sasa, hili ndio la kulitazama kwa tahadhari ya kiwango cha juuKimsingi, M23 na Watutsi wanaweza kuteka maeneo leo lakini hawataweza kutawala maana wapo wachache! Another grand scale genocide is cooking!
M23 Wakiteka bukavu basi ujue Burundi hali itakuwa tete kabisa vita vina mipango ya mbali sana hasa hv vya kikabila ni hatari sanaWarundi wanafia nini Kongo wakati asilimia kubwa ya Wananchi wao huwa wanalala na njaa.
Hizo fedha wanazotumia huko Kongo kununua risasi na Mabomu angalao wangekuwa wanawapa koo masikini za Burundi.
Burundi na Rwanda wanapambana ndani ya Drc.Meja Evariste Ndayizeye kutoka jeshi la Burundi, anaesadikika kuwa miongoni mwa wapiganaji mahili, ameuliwa na M23 huko Kivu kusini.
Ni katika mapambano ya M23 kuhakikisha inaudunga uwanja wa ndege wa Kavumu. Inasemekana kwamba mpaka sasa, wapiganaji wapo umbali wa Kilometa saba na wameshauzingira uwanja huo.
Huku jeshi la Burundi, likiwa na wanajeshi wapatao elfu nne kuulinda uwanja huo.