Meja wa Burundi auawa huko Kivu kusini

Meja wa Burundi auawa huko Kivu kusini

Warundi wanafia nini Kongo wakati asilimia kubwa ya Wananchi wao huwa wanalala na njaa.

Hizo fedha wanazotumia huko Kongo kununua risasi na Mabomu angalao wangekuwa wanawapa koo masikini za Burundi.
...,wanachofia wanyarwanda....
 
Warundi wanafia nini Kongo wakati asilimia kubwa ya Wananchi wao huwa wanalala na njaa.

Hizo fedha wanazotumia huko Kongo kununua risasi na Mabomu angalao wangekuwa wanawapa koo masikini za Burundi.

Wewe mbona nchini mwako mama ananunua magoli kwa mamilioni wakati shule hazina madawati wala vifaa vya maabara, mahosipitalini hakuna dawa unaambiwa kanunue famasi!!
 
Hivi, unajua hata mwanajeshi kwa roho ya kawaida anaangalia na vigezo vya kupigana? Wenzao walishahukumiwa kufungwa maisha. Mwanajeshi mtutsi, usifikilie ni rahisi kupigana na M23. Wengine walishajiweka mikononi mwa Red-Tabara. Inayosubili tu njia ya kuungana na M23. Hivi ni vita vya watu wanaojuana wenyewe, haviko serious kivile. Unaweza ukakuta hao 4k nusu yake hawana mpango. Wanashitakiana usaliti. Unaanzaje sasa!!!
umeandika nini sasa,unarukaruka
Kama mbwa
Mwitu
 
Wewe mbona nchini mwako mama ananunua magoli kwa mamilioni wakati shule hazina madawati wala vifaa vya maabara, mahosipitalini hakuna dawa unaambiwa kanunue famasi!!
Uwe unanisoma humu, mimi huwa napigania utawala bora.
 
Back
Top Bottom