Meja wa Burundi auawa huko Kivu kusini

Meja wa Burundi auawa huko Kivu kusini

Meja Evariste Ndayizeye kutoka jeshi la Burundi, anaesadikika kuwa miongoni mwa wapiganaji mahili, ameuliwa na M23 huko Kivu kusini.

Ni katika mapambano ya M23 kuhakikisha inaudunga uwanja wa ndege wa Kavumu. Inasemekana kwamba mpaka sasa, wapiganaji wapo umbali wa Kilometa saba na wameshauzingira uwanja huo.

Huku jeshi la Burundi, likiwa na wanajeshi wapatao elfu nne kuulinda uwanja huo.

Hivi adui wanatanbuanaje?
Mbona naona kama combat za majeshi yote zinafanana
 
Sawa sawa, mwanajeshi kufa vitani sio jambo geni
Yeah!.... Bahati nzuri Burundi inafahamika ina askari Kivu Kusini.

Huko kwa PK hata vifo havijulikani...
M23 Wakiteka bukavu basi ujue Burundi hali itakuwa tete kabisa vita vina mipango ya mbali sana hasa hv vya kikabila ni hatari sana
Burundi inapigania usalama wake
 
Yeah!.... Bahati nzuri Burundi inafahamika ina askari Kivu Kusini.

Huko kwa PK hata vifo havijulikani...

Burundi inapigania usalama wake
Kila nchi inapigania Usalama wake...PK na jeshi lake liko ki propaganda hivyo usitegemee kusikia kifo Cha askari upande huo...ili nyie mnawapenda muwaone wao wako vzr ktk mapigano, Na uzuri mnapenda habari zao nzuri mbaya hamtozipata
 
PK anashutumiwa na majirani zake (Drc na Burundi) kuwa ana ajenda ya kujitanua..

Huyu jamaa kawa mwiba ukanda huu.
 
Ina maaana toka vita vianze hkn M23 aliyekufa ? Ila mnaona hao wengine tu ndio wanaokufa ,Ni Kwa sababu hao wamekua wawazi ,
Utawala wa Kigali umekanusha kuwa na askari huko Drc....hivyo haiwezi kutangaza vifo vyao...
 
PK anashutumiwa na majirani zake (Drc na Burundi) kuwa ana ajenda ya kujitanua..

Huyu jamaa kawa mwiba ukanda huu.
Hahahaha si mnampenda,subiri aje Kagera atanuie Ile mbuga yake ya akagera ndio mtajua Nia yake ,muda unakuja,kama ameweza kuja Kwa wakubwa na kuwaambia hkn wakumnyamazisha unategemea nn
 
M23 Wakiteka bukavu basi ujue Burundi hali itakuwa tete kabisa vita vina mipango ya mbali sana hasa hv vya kikabila ni hatari sana
Makubaliano ya Arusha yanalitaka Jeshi la Burundi kuwa nusu kwa nusu Watutsi kwa Wahutu lakini kuna habari kwamba Askari wa Kitutsi wakistaafu nafasi yao wanaingizwa Askari wa Kihutu ni kinyume na makubaliano ya Arusha.

Kwahiyo Jeshi la Burundi sio fighting force ya kuaminika na kuwashinda M23.
 
Warundi wanafia nini Kongo wakati asilimia kubwa ya Wananchi wao huwa wanalala na njaa.

Hizo fedha wanazotumia huko Kongo kununua risasi na Mabomu angalao wangekuwa wanawapa koo masikini za Burundi.
Huenda DRC inailipa Burundi kama ilivyokuwa Kwa wale jamaa kutoka Ulaya.
 
Warundi wanafia nini Kongo wakati asilimia kubwa ya Wananchi wao huwa wanalala na njaa.

Hizo fedha wanazotumia huko Kongo kununua risasi na Mabomu angalao wangekuwa wanawapa koo masikini za Burundi.
Mtawala wa Rwanda ni Mtutsi (Kagame) mtawala wa Burundi ni Mhutu, M23 ni Watutsi, sera ya Watutsi kuhusu ardhi ukanda hu inajulikana (refer waraka wa askofu Mtikila ) so Burundi anajaribu pia kupambana na mpango ovu wa bwn PK and his team
 
Warundi wanafia nini Kongo wakati asilimia kubwa ya Wananchi wao huwa wanalala na njaa.

Hizo fedha wanazotumia huko Kongo kununua risasi na Mabomu angalao wangekuwa wanawapa koo masikini za Burundi.
Siri ya mtungi aijua kata
 
Mtawala wa Rwanda ni Mtutsi (Kagame) mtawala wa Burundi ni Mhutu, M23 ni Watutsi, sera ya Watutsi kuhusu ardhi ukanda hu inajulikana (refer waraka wa askofu Mtikila ) so Burundi anajaribu pia kupambana na mpango ovu wa bwn PK and his team
Watutsi walikuwa ni Watawala wa RwandaUrundi kabla hata Babu yake Mtikila hajazaliwa.
 
Ukisoma Comment kama hii toka kwa Mtutsi aliyejificha Tanzania....!
Ndo utàelewa Watutsi ni Watu wa aina Gani...!
Nani kakwambia mimi nimejificha Tanzania unafikiria mimi ni Mkimbizi wa Kihutu?!
 
Back
Top Bottom