Mfalme_wa_Nyika
JF-Expert Member
- May 24, 2023
- 683
- 1,581
Kwa hiyo unanishauri nisiitumie hata kwa kilometa kadhaa ndo nibadili oil!? Au ni kwa kipindi gari madhara hayo yatatokea!?utafanya engine ipasuke... coz ya compression force... compression force ya diesel ni kubwa sana, ndio maana haitaji spark , ila compression ya petrol ni kawaida ... so kufanya hvyo utaua engine
Sawa ila sijui kama umenielewa, namaanisha oil ya engine, hapa sizungumzii mafuta ya diesel kwenye gari la petrol au vice versaHizo kilomita ni chache kuharibu gari.
Nenda kabadilishe hiyo oil kabla gari haijatembea umbali mrefu.
Nimegoogle nakuta mawazo mkanganyiko mzee, nawaza hizi hasara tunatiana siku kwa siku sio poa, nimejikaza kupata hii pesa ya service leo ni hasara tupu kuja kurudia kitu kwa makosa ya mtu mwingine...Jaribu Google mkuu
Asante kunipa moyo mkuu, nawaza hasara ila ungenidadavulia kama uliwahi kutumia gari la petrol kwa engine oil ya diesel nipate moyo zaidi nitumie hata kwa kilometa 1500 tu nimwageNot big issue
Gari inasoma km ngapi kwenye dashboard?Wataalam, natanguliza shukrani.
Leo ilikua muda wa kufanya service gari yangu ( SUV) ambalo ni gari la engine ya Petrol, sasa nikafika garage na hapo hapo wanauza oil, mekanika nikamwambia na kwa uzoefu wake anajua magari madogo kama hilo langu ni gari la petrol hivyo nikamwacha afanye yake na akaenda kuchukua oil mimi nikalipia akafanya service kubadili kusafisha kila kitu muhimu kwa service ya gari.
Sasa nilipofika nyumbani lile dumu la oil nilonunua ie kubadilisha kabla sijalitupa kulitoa kwa gari nikasema baada ya kujisikia tu nilisome kidogo... niliposoma
Nikashangaa limeandikwa
Diesel Engine Oil
na kampuni ni
TotalEnergies
Rubia S
SAE 40
API CF/SF
Nikashangaa kwa nini hakuniwekea Petrol Engine Oil!?
Nikampigia simu akasema eti hiyo oil haina shida yeyote wala haiwezi kuharibu engine ya gari yangu ni kawaida wao kuitumia kwa magari ya petrol mimi sio wa kwanza.
Kwa kweli, sijamuelewa maana sijawahi kuweka kitu tofauti na matumizi yake hii ni mara ya kwanza,
Nimetembea na gari hilo kutoka garage mpaka home ni kilometa 6 tu nimepaki sina amani kulitumia mpaka nisikie maoni ya ninyi wadau.
Je ni kweli kuwa hakuna tatizo nitapata kwa gari yangu baada ya kuweka hii diesel engine oil kwa gari la engine ya petrol!?
Nisaidieni
Usiseme hasara. Sema umelipia gharama ya elimu ya oil sahihi ya gari yako.Nimegoogle nakuta mawazo mkanganyiko mzee, nawaza hizi hasara tunatiana siku kwa siku sio poa, nimejikaza kupata hii pesa ya service leo ni hasara tupu kuja kurudia kitu kwa makosa ya mtu mwingine...
Mtandaoni naona kuna watu wanasema wao wanatumiaga diesel engine oil kwenye magari yao ya petrol bila shida yeyote
Mbona amesema oil hajasema fuel.Sawa ila sijui kama umenielewa, namaanisha oil ya engine, hapa sizungumzii mafuta ya diesel kwenye gari la petrol au vice versa