Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Elephant Orphanage, Nairobi inamilikiwa na shirika la kuhifadhi wanyama Kenya, K.W.S. Kiingilio ni bure kwa raia wote wa Afrika mashariki. Ni hifadhi la wanyama majeruhi na mayatima waliookolewa kutoka mbugani na K.W.S. Hata kama ni chuki jaribu kuzieneza kupitia habari za kweli. Pia hakuna kambi ya kijeshi ya U.S. Kenya wala hamna ushirikiano wowote wa kijeshi kati ya Kenya na China. Malengo ya ziara ya Melania huku Kenya yanajulikana wazi, masuala ya afya kwa watoto na kuunga mkono juhudi za First Lady Maggie na ule mradi wake wa 'Beyond Zero Campaign'.Mbona alienda mbuga inayomilikiwa na wazungu, na sio mbuga kama maasai mara ama Tsavo?
Mimi naona Trump anataka kununua shamba kubwa aina ya conservancy uko nanyuki wapakane na Uhuru, British military outpost, American foreign base, na pia base itakayokuja ya kichaina!
Hapa maasai na samburu wa kenya watanyoroshwa safi sana! Wacha wavuke tu na ngombe kwa eneo izo!
Nobody asked for your opinionMbona alienda mbuga inayomilikiwa na wazungu, na sio mbuga kama maasai mara ama Tsavo?
Mimi naona Trump anataka kununua shamba kubwa aina ya conservancy uko nanyuki wapakane na Uhuru, British military outpost, American foreign base, na pia base itakayokuja ya kichaina!
Hapa maasai na samburu wa kenya watanyoroshwa safi sana! Wacha wavuke tu na ngombe kwa eneo izo!
Vipi mkuu, unamjua mzee John yuya principal, yondo sista, junk, oyenge papa, aberdares dorm, longonot, mara, kili 1and 2, kenya dorm , elgon , ruwenzori et al[emoji3] [emoji3] [emoji16] [emoji113] ??Elephant Orphanage, Nairobi inamilikiwa na shirika la kuhifadhi wanyama Kenya, K.W.S. Kiingilio ni bure kwa raia wote wa Afrika mashariki. Ni hifadhi la wanyama majeruhi na mayatima waliookolewa kutoka mbugani na K.W.S. Hata kama ni chuki jaribu kuzieneza kupitia habari za kweli. Pia hakuna kambi ya kijeshi ya U.S. Kenya wala hamna ushirikiano wowote wa kijeshi kati ya Kenya na China. Malengo ya ziara ya Melania huku Kenya yanajulikana wazi, masuala ya afya kwa watoto na kuunga mkono juhudi za First Lady Maggie na ule mradi wake wa 'Beyond Zero Campaign'.
Nope, kwanini? Ni wapi huko?Vipi mkuu, unamjua mzee John yuya principal, yondo sista, junk, oyenge papa, aberdares dorm, longonot, mara, kili 1and 2, kenya dorm , elgon , ruwenzori et al[emoji3] [emoji3] [emoji16] [emoji113] ??
Hahaa, [emoji1] Najua shule yenyewe ilipo, kule kwetu Kajiado, Namanga highway, ila mimi shule ya upili sikusomea Kajiado County, nilisoma kule N.Rift na Central pia.Haha mzee wa olkejuado high hujambo mkuu?[emoji3] [emoji113]
Aisee kumbe nisijidharau nina chura kabisa.
Elephant Orphanage, Nairobi inamilikiwa na shirika la kuhifadhi wanyama Kenya, K.W.S. Kiingilio ni bure kwa raia wote wa Afrika mashariki. Ni hifadhi la wanyama majeruhi na mayatima waliookolewa kutoka mbugani na K.W.S. Hata kama ni chuki jaribu kuzieneza kupitia habari za kweli. Pia hakuna kambi ya kijeshi ya U.S. Kenya wala hamna ushirikiano wowote wa kijeshi kati ya Kenya na China. Malengo ya ziara ya Melania huku Kenya yanajulikana wazi, masuala ya afya kwa watoto na kuunga mkono juhudi za First Lady Maggie na ule mradi wake wa 'Beyond Zero Campaign'.
Hahaha! [emoji1] Acha zako jombaa, sikupitia huko ila kuna dada mmoja hivi namjua, alisoma pale Moi Girls na alikuwa ananiihadithia mengi kuhusu hiyo shule yenu ya mafyatu. Kama nakumbuka vizuri mlikuwa mnachafua sana.Sifa zako pale O.H.S zajulikana mkuu[emoji16] [emoji106].
kenyata bange zinampeleka kubaya hivi huyo bibi ni mama yake au mke wake??Ikulu na Mama wa Taifa, aliahidi kusupport hospitali ya watoto anyoijenga hapa nairobi, beyond zero![emoji106] [emoji122] View attachment 888800View attachment 888804View attachment 888805View attachment 888806View attachment 888808View attachment 888810View attachment 888811
lazima kachura kidogo kawepo...!!utafiti unaonesha..hata uwe na sura nzuri kiasi gani lakini bila kachura ni kazi bure!Aisee kumbe nisijidharau nina chura kabisa.
Ndio huyu hapa enzi hizo akiwa kijana. Sasa hivi ni mama wa taifa na anatimiza majukumu yake kama First Lady zaidi ya yoyote yule mwingine aliyemtangulia.kenyata bange zinampeleka kubaya hivi huyo bibi ni mama yake au mke wake??
Dah kumbe raisi wenu ni kiben 10...!!!Ndio huyu hapa enzi hizo akiwa kijana. Sasa hivi ni mama wa taifa na anatimiza majukumu yake kama First Lady zaidi ya yoyote yule mwingine aliyemtangulia.![]()
Kivipi wakati amemzidi mkewe kiumri? Nimekuekea picha yake hapo alivokuwa mbichi enzi hizo. Hayo mengine jijazie mwenyewe.Dah kumbe raisi wenu ni kiben 10...!!!
Tembo wa kunyonyesha ata enjoy nini sasa?Tatizo ya hiyo mbuga ya Nairobi haina wanyama wengi unaweza zunguka muda mrefu na kuona baadhi tu ya wanyama.
Aiseeeee, Kumbe alikua kisu kiwango cha sgrNdio huyu hapa enzi hizo akiwa kijana. Sasa hivi ni mama wa taifa na anatimiza majukumu yake kama First Lady zaidi ya yoyote yule mwingine aliyemtangulia.![]()