Melania Trump atinga mbugani!!

Melania Trump atinga mbugani!!

Mbona alienda mbuga inayomilikiwa na wazungu, na sio mbuga kama maasai mara ama Tsavo?

Mimi naona Trump anataka kununua shamba kubwa aina ya conservancy uko nanyuki wapakane na Uhuru, British military outpost, American foreign base, na pia base itakayokuja ya kichaina!

Hapa maasai na samburu wa kenya watanyoroshwa safi sana! Wacha wavuke tu na ngombe kwa eneo izo!
Elephant Orphanage, Nairobi inamilikiwa na shirika la kuhifadhi wanyama Kenya, K.W.S. Kiingilio ni bure kwa raia wote wa Afrika mashariki. Ni hifadhi la wanyama majeruhi na mayatima waliookolewa kutoka mbugani na K.W.S. Hata kama ni chuki jaribu kuzieneza kupitia habari za kweli. Pia hakuna kambi ya kijeshi ya U.S. Kenya wala hamna ushirikiano wowote wa kijeshi kati ya Kenya na China. Malengo ya ziara ya Melania huku Kenya yanajulikana wazi, masuala ya afya kwa watoto na kuunga mkono juhudi za First Lady Maggie na ule mradi wake wa 'Beyond Zero Campaign'.
 
Nobody asked for your opinion
 
Vipi mkuu, unamjua mzee John yuya principal, yondo sista, junk, oyenge papa, aberdares dorm, longonot, mara, kili 1and 2, kenya dorm , elgon , ruwenzori et al[emoji3] [emoji3] [emoji16] [emoji113] ??
 
Nope, kwanini? Ni wapi huko?
 
Haha mzee wa olkejuado high hujambo mkuu?[emoji3] [emoji113]
Hahaa, [emoji1] Najua shule yenyewe ilipo, kule kwetu Kajiado, Namanga highway, ila mimi shule ya upili sikusomea Kajiado County, nilisoma kule N.Rift na Central pia.
 
Hahaa, [emoji1] Najua shule yenyewe ilipo, kule kwetu Kajiado, Namanga highway, ila mimi sikusomea huko, nilisoma kule N.Rift na Central pia.
Sifa zako pale O.H.S zajulikana mkuu[emoji16] [emoji106].
 
More you give,More you receive.No free lunch in America!
Elephant Orphanage, Nairobi inamilikiwa na shirika la kuhifadhi wanyama Kenya, K.W.S. Kiingilio ni bure kwa raia wote wa Afrika mashariki. Ni hifadhi la wanyama majeruhi na mayatima waliookolewa kutoka mbugani na K.W.S. Hata kama ni chuki jaribu kuzieneza kupitia habari za kweli. Pia hakuna kambi ya kijeshi ya U.S. Kenya wala hamna ushirikiano wowote wa kijeshi kati ya Kenya na China. Malengo ya ziara ya Melania huku Kenya yanajulikana wazi, masuala ya afya kwa watoto na kuunga mkono juhudi za First Lady Maggie na ule mradi wake wa 'Beyond Zero Campaign'.
 
Sifa zako pale O.H.S zajulikana mkuu[emoji16] [emoji106].
Hahaha! [emoji1] Acha zako jombaa, sikupitia huko ila kuna dada mmoja hivi namjua, alisoma pale Moi Girls na alikuwa ananiihadithia mengi kuhusu hiyo shule yenu ya mafyatu. Kama nakumbuka vizuri mlikuwa mnachafua sana.
 
kenyata bange zinampeleka kubaya hivi huyo bibi ni mama yake au mke wake??
Ndio huyu hapa enzi hizo akiwa kijana. Sasa hivi ni mama wa taifa na anatimiza majukumu yake kama First Lady zaidi ya yoyote yule mwingine aliyemtangulia.
0fgjhs16umgb4pnjjg.c905e0ed.jpg
 
Melania Trump Caused Outrage By Wearing
Colonial Pith Hat In Kenya

Melania is again firing back against critics of her sartorial choices. Speaking to press in Egypt while finishing up her solo, four-country African tour on Saturday, the First Lady addressed the controversial white pith helmet she had worn while embarking on a safari in Nairobi National Park in Kenya. The hat piqued some observers, who noted that the helmet is frequently associated with European colonizers of Africa and India.
 
Ndio huyu hapa enzi hizo akiwa kijana. Sasa hivi ni mama wa taifa na anatimiza majukumu yake kama First Lady zaidi ya yoyote yule mwingine aliyemtangulia.
0fgjhs16umgb4pnjjg.c905e0ed.jpg
Aiseeeee, Kumbe alikua kisu kiwango cha sgr
 
mela colon.jpg

Melania Trump has prompted consternation, some anger and much derision by
choosing a pith helmet, a symbol of colonial rule across Africa
 
Back
Top Bottom