Nyenyere
JF-Expert Member
- Sep 9, 2010
- 14,804
- 10,715
Somatena uelewe nilichoandikaUnataka tuchambue mstari gani !! " KAMA " ni sehemu ya mstari , kama utaki tujadili kilichoandikwa unataka tujadili nini sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Somatena uelewe nilichoandikaUnataka tuchambue mstari gani !! " KAMA " ni sehemu ya mstari , kama utaki tujadili kilichoandikwa unataka tujadili nini sasa
Kwa hiyo njia pekee ya Yesu kujionyesha kwa wanadamu ni kuzaliwa? Kwa ushahidi upi?1. Melkizedeki alikuwa kuhani wa Mungu alie juu wala sio kuhani mkuu sawa
2.Ndio Melkizedeki alikuwa juu ya Ibrahim ndio maana akambariki , hili ni jambo la kawaida mkuu ni suala la Mungu tu kumbariki kiumbe wake na kumpa karama nyingi kuliko mwengine
3.Yesu alikuwepo kabla ya msingi wa ulimwengu , hii sikatai lakini njia pekee ya Yesu kujionyesha kwa watu hapa duniani na kuishi nao , ni kuja kuzaliwa na mwanamke , lakini Melkizedeki hii njia ajaipitia kabisa na duniani aliishi na watu bila tabu , vilevile maandiko yanasema huyu Melkizedeki alifananishwa na Mwana wa Mungu lakini Yesu alikuwa mwana wa Mungu kamili , vilevile Melkizedeki alikuwa ni mfalme na kuhani , wakati Yesu alikuwa na vyeo 3(mfalme, kuhani na nabii), ni kweli walifanana lakini sio mtu mmoja
Missile of the Nation, nitakusaidia tu hapa kidogo. Unafanya kosa moja kubwa. Ni kuwa unadhania waraka wa Waebrania uliandikwa kwa Kiswahili. Niseme tu kuwa ukisoma huo mstari kwa mfano kwenye Kiingereza hausemi You are a priest forever "like" Melkizedech. Kiingereza inasema "You are a priest forever in the order of Melkizedek". Hili neno "in the order of" ndio limepotea kwenye Kiswahili. Lakini hata kwenye Kiingereza utaona limebadilika kidogo nalo hadi uelewa maana ya "order". Kupata mwanga kidogo hapa inabidi usome Waeb 11:7 ambapo hizi "orders" mbili zinalinganishwa. Kuna "order" ya Aaron na order ya Malkizedeki. Sasa makuhani wa Haruni wao wanapata ukuhani wao kwa kurithi kutoka watoto wa kiume wa Haruni tu. Nisikuchoshe; maana yake kwa ufupi ni kuwa order ya Melkizedeki inashikiliwa na Melkizedeki tu na Yesu mwenyewe. Ndio ukuhani pekee wa kifalme (royal priesthood).
Mkuu Bado unahitaji kuendelea kujifunza Neno la Mungu, wala sishangai vile inaposhindwa kuelewa utofauti wa Mungu, Yesu na Kristo.Hakuna mahali kwenye bible Yesu anatambulishwa kwa sifa ya uungu, hii ni theolojia ya kuunga unga tu kama hii ya kujaribu kumfananisha Yesu na Melkizedeki, lakini theolojia hiyo imebase kwenye logical inferences tu badala ya maandiko!, yaani imebase kwenye watu kuconnect dots badala ya kauli thabiti ya Yesu mwenyewe
Mathayo 24:36 Yesu mwenyewe kwa kauli yake anasema anasema, "hakuna ajuaye saa wala muda wa siku ile SI MALAIKA WALA MWANA AJUAYE ILA BABA PEKE YAKE (3“But concerning that day and hour no one knows, not even the angels of heaven, nor the Son,[a] but the Father only. ")
hili andiko peke yake linakuonyesha kuwa Yesu yuko limited in knowledge, hajui mambo yote na siri zote za ulimwengu huu, na hiyo peke yake ni ushahidi kuwa siyo Mungu
Mkuu Bado unahitaji kuendelea kujifunza Neno la Mungu, wala sishangai vile inaposhindwa kuelewa utofauti wa Mungu, Yesu na Kristo.
"Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu. Huyo mwanzo alikuwako kwa Mungu. Vyote vilifanyika kwa huyo; wala pasipo yeye hakikufanyika cho chote kilichofanyika." Yohana 1:1- 3.
Mission ya Yesu alipokuja duniani haikuwa kuja kujitangaza kuwa yeye ni Mungu, bali kutangaza wokovu hata kufa kwa ajili ya mwanadamu, ndio maana hutakuta sehemu hata moja alitamka kujiita Mungu, bali alijiweka nafasi ya mwanadamu. Mtu anayehangaika kutafuta mahali Yesu alijiita Mungu ni wazi kuwa bado haelewi Biblia, haelewi mpango wa wokovu.
Yesu angejiita Mungu na kujaribu kujiweka nafasi ya ki-Ungu na heshima yake, hivi unadhani mpango wa wokovu ungekamilika?, unadhani ni mwanadamu gani angesubutu kumkamata?, nani angemshambulia Mungu?.
Ilikuww ni lazima ajiweke mbali na cheo cha Uungu, ili wawepo watu watakaomdharau na kumdhihaki na hata kumsulubisha.
Soma Neno la Mungu, Upate Maarifa.
Mkuu kwanza thanks for sharing with us hi kitu; miongoni mwa maada ambazo waumini wengi hua wanapata sana TABU basi ni story ya huyu mtu uliyemsema hapa, but kwa kusoma kwangu Biblia, huyu Melkizedeki ni mtu tu kama walivyo pata kua watu wengine, au niweke hivi, Melkizedeki alikua mtumishi wa Mungu kama walivyo pata kutokea wengine na hata waliopo( Yesu anabakia kua ndio kila kitu katika Imani ya Kikristo and may be na zingine ( huko kwingine sina interest nako cause sijasoma sana vitabu vyao) Kwenye huo mstari uliutaja, hebu rudi nyuma mstari 2, utaona imeanza hivi kwa kufungia mabano, "huyo Melkizedeki ( tafsiri ya jina lake kwanza ni mfalme wa haki, tena mfalme wa Salem, maana yake mfalme wa Amani; ...inaendelea kama ulivyo copy hapo then akafungia mabano. KWahiyo huyu mtu sio kwamba hakuana na baba wala mama na wala hakua mfalme wa milele bali, tafsiri ya jina lake ndio hiyo. Kwa mfano, jina Emmanuel (jina la kwanza kabisa la ahadi la Yesu ) tafsiri yake ni Mungu pamoja na nasi; Kwa hiyo mtu yeyote aitwaye Immanuel hata leo either ana amini katika Mungu au la, hiyo ndio tafsiri ya jina hilo, hivi unajaua jina Yusufu au Joseph kwa kingereza maana yake ni nini? Ni kwamba mtoa jina ana maana hivi, "God you may give me another son" Haijalishi wazazi wanao toa jina hilo Yusufu/Joseph kwa watoto wao kama na wao wanaomba Mungu afanye hivyo au laa but hio ndio maana yake. So huyu Melkizedeki na yeye jina lake ndio lina tafsiri hiyo but yeye hakua kuahani wa milele na ndio maana hapo hapo ulipotoa maandiko, inasema ni mfano wa….., kitu mfano wa… means sio halisi ila kimebeba kitu kingine.
Again, thanks for sharing na huo ndio mchango wangu
Agano la kale lilihifadhiwa kwa kiebrania na sio kigiriki.Agano la Kale lugha yake ya Asili ni Kigiriki na wala siyo kiingereza kwa hiyo hapa unafanya kosa unalodhani nimefanya.
Biblia ya Kiswahili ilitafsiriwa direct kutoka kwenye Kigiriki na siyo Kiingereza.
Hiyo ni point ya kwanza
Lakini lets us use your argument, kwamba badala ya kutumia neno "Kama", tuuangalie huo msitari kwa mantiki ya maneno "In the order of Melkizedek", bado inaprove kuwa hawa ni watu wawili tofauti, mathalani kwa upande wa wana Israel Makuhani wote waliofuata baada ya AARON wanahudumu in "the order of Aaron", inamaanisha wanadumisha huduma ileile iliyokusudiwa na Aaron haimaanishi kuwa wao ndiyo Aaron re-incarnate
Kwa hiyo hata Yesu naye ni Kuhani katika order ya Melkizedeki maana yake ni kwamba kama Jinsi Melkizedeki alivyokuwa Kuhani mtumishi wa Mungu aliyejuu sana ndivyo hivyohivyo jinsi Yesu alivyo Kuhani mtumishi wa Mungu aliyejuu sana.
Tukija kwenye Ishu ya umama, ishu ya Yesu kuwa na mama tangu kuzaliwa,
Ishu ya MAMA ni ishu ya hapa DUNIANI, Ukiondoa Adamu na Eva hakuna aliyewahi kuwa BINADAMU hapa duniani bila Kuzaliwa na Mwanamke.
Hakuna Ushahidi kuwa Huko Mbinguni viumbe walioko huko huzaliwa na Mwanamke/Mama
Kwa hiyo kujaribu kusisitiza kuwa existence ya Yesu kabla ya kuja duniani ilikuwa bila mama haina maana yoyote kwenye muktadha wa majadiliano yetu maana Ishu ya mama significance yake ni hapa duniani siyo huko Mbinguni
Kuhusu baadhi ya viumbe kuonekana katika umbo la mtu bila kuzaliwa na mwanamke hapa duniani, Malaika wao huonekana kama kuvaa miili ya Watu wakati mwingine lakini Siyo BINADAMU maana hawakuzaliwa na Uzao wa Adamu yaani ( WATU)
Kwanza nashukuru kwa mjadara mzuri, but hapo 1 hadi 3, rudia tena kusoma kwenye Biblia, pameandikwa hivi tena kwa mabano, tafsiri ya jina hilo ( sio huyo mtu ) ndio hizo namba 1 hadi 3 ulio andika. Kasome tu tena uone hata wewe. Kingine ni hiki, mara baada ya Ibrahimu kuonana na huyu mtu, (kasome tena hiyo Mwanzo 14 ) inaonekana kabisa walikua wanafahamiana na ndio maana pameandikwa Melkizedeki mfalme wa Salem maana yake huyo Melkizedeki alikua kiongozi wa mji wa Salem (mji huo ndio Yerusalem/Jerusalem ya leo). So mtu huyu was know kwa wakazi wa mji huo but pamoja na ufalme wake, alikua pia kuhani ( kiongozi wa kidini) So bado nasisitiza huyu hakua mtu unknow, he was known and famous.Katika andiko hili ziko sifa ambazo ni za Mungu pekee amepewa Melkizedeki kama ifuatavyo:
1. Hana wazazi - maana yake hakuzaliwa
2. Hana mwanzo wala mwisho wa uhai wake
3. Adumu milele - yaani hafi
Agano la kale lilihifadhiwa kwa kiebrania na sio kigiriki.
Nimekusoma mwelekeo wako na jinsi gani huna elimu ya Mungu kama unavyojionyesha. Hoja zako si mpya ila ni chakula cha wale wenye kukariri tu, wakati neno liko wazi kabisa. Kwa sasa sina muda wa kuandika kuhusu hili, labda hapo baadaye. Ningependa uniambie unaelewa nini kuhusu Agano la kale na Agano jipya na yanahusianaje. Ukinijibu hilo nitapata sehemu ya kuanzia, la hujajibu nitashindwa kuelewa nianzie wapi mjadala huu. Tena nakushauri ufungue thread inayojitegemea ili tujadili kwa mapanaUnachanganya mambo unaposema kuwa KRISTO NDIYE MUNGU
Mungu ni Mungu na Yesu ni Yesu
Yesu alimwabudu Mungu na wala Mungu hakumwabudu Yesu [" Akaenda kwenye bustani ya Gethsemane kuomba, Baba ikiwezekana kikombe hiki kiniepuke, siyo kama mimi nitakavyo bali wewe Utakavyo.."]
Yesu hajui muda wala Saa ya Siku ya Mwisho, Bali Mungu anajua[ Yesu alisema " Hakuna aijuaye saa wa la siku ile si malaika wala mwana bali BABA peke yake"]
Yesu alichosikia kwa Mungu ndicho alichofundisha na wala mafundisho yake hayakuwa kwa utashi wake [Yesu alisema "Nisikiavyo ndivyo nihukumuvyo na hukumu yangu ni ya haki...."]
Wote wanaomkubali Yesu ni Mungu alimjaalia tu wamkubali na wala si kwa uwezo wake [Yesu alisema "Baba ulionipa sikumpoteza hata mmoja"]
Yesu anatambua kuwa BABA ndiye Mungu wa pekee [Yesu alisema "Na uzima wa Milele ni huu, wakujue wewe Mungu wa KWELI na wa PEKEE na Yesu Kristo uliyemtuma"]
Yesu anakiri BABA ni mkuu kuliko yeye [Yesu alisema "BABA yangu ni Mkuu kuliko Mimi"]
Utukufu wa Yesu ni BABA ndiye aliyempa wala Yesu hakujipa Mwenyewe [Yesu alisema "Baba Ningependa hawa ulionipa wawe nami nitakapokuwa, wauone utukufu wangu, Utukufu ULIONIPA kabla ya kuumbwa kwa dunia"]
Sasa wewe unaleta habari za Yesu kuwa Mungu wakati maandiko all the time yanakuonyesha kuwa kuna ALIYE JUU YA YESU KIMAMLAKA!
Au unataka kuwambia BABA ni Mungu Mkubwa mkubwa na YESU ni Mungu Mdogomdogo?
Kwa mujibu wa maandiko huwezi kumuequate FATHER (JEHOVAH) na SON (JESUS) yaani utakwama, maandiko hususan Kauli za Yesu mwenyewe zitakukatalia.
Tukubali tu kuna Mungu Moja ambaye YESU alikuwa akimuita BABA
Na tukubali tu kuwa YESU ni aliyetumwa na Mungu kuwafunza watu wamjue BABA ili wapate Salvation
Hili tatizo la kuconnect dots ndo limeharibu sana mafundisho halisi ya Kristo: Badala ya kutwaa mafundisho ya Kristo kama alivyofundisha, watu throughout centuries wakaanza kutengeneza nadharia kuwa "ooh, Yesu ndyo Baba lakini hakujifunua tu, Wengine wanasema hapana BABA na MWANA ni Separate entities lakini wote ni sawa(CO-EQUAL), Wengine wanasema BABA na MWANA ni Walewale tu la kila mmoja ana role tofauti
Logic/Falsafa/ Nadharia na kuconnect dots kwa baadhi ya watu kumedilute na kupoteza muelekeo halisi wa Mafunzo aliyofundisha Kristo mwenyewe na kuyapeleka so far out of context!
Kristo mwenyewe anasema MY FATHER IS GREATER THAN I (Baba yangu yu Mkuu kuliko mimi), lakini wanakuja watu centuries later wanasema FATHER na SON ni CO-EQUAL and CO-ETERNAL!. hii CO-EQUAL wameipata wapi? wamejitungia wenyewe tu ili kuconnect dots kwao kuweze kumakes sense kwa mujibu wa akili zao za kupenda falsafa!
Mkuu, unataka tubishane kwa kutumia mtungo wa sentensi? Si vema hata kidogo, lakini nikuulize, unaelewa maana ya semi colon? Alama ;Kwanza nashukuru kwa mjadara mzuri, but hapo 1 hadi 3, rudia tena kusoma kwenye Biblia, pameandikwa hivi tena kwa mabano, tafsiri ya jina hilo ( sio huyo mtu ) ndio hizo namba 1 hadi 3 ulio andika. Kasome tu tena uone hata wewe. Kingine ni hiki, mara baada ya Ibrahimu kuonana na huyu mtu, (kasome tena hiyo Mwanzo 14 ) inaonekana kabisa walikua wanafahamiana na ndio maana pameandikwa Melkizedeki mfalme wa Salem maana yake huyo Melkizedeki alikua kiongozi wa mji wa Salem (mji huo ndio Yerusalem/Jerusalem ya leo). So mtu huyu was know kwa wakazi wa mji huo but pamoja na ufalme wake, alikua pia kuhani ( kiongozi wa kidini) So bado nasisitiza huyu hakua mtu unknow, he was known and famous.
Hakuna ushahidi uliopatikana kuuhusisha Yerusalem na Salem, isipokuwa wasomi wanajaribu kukisia kuwa huenda Yerusalemu imetokana na Salem. Ni mawazo tu, uwe makini na michango ya kuungaunga.Kwanza nashukuru kwa mjadara mzuri, but hapo 1 hadi 3, rudia tena kusoma kwenye Biblia, pameandikwa hivi tena kwa mabano, tafsiri ya jina hilo ( sio huyo mtu ) ndio hizo namba 1 hadi 3 ulio andika. Kasome tu tena uone hata wewe. Kingine ni hiki, mara baada ya Ibrahimu kuonana na huyu mtu, (kasome tena hiyo Mwanzo 14 ) inaonekana kabisa walikua wanafahamiana na ndio maana pameandikwa Melkizedeki mfalme wa Salem maana yake huyo Melkizedeki alikua kiongozi wa mji wa Salem (mji huo ndio Yerusalem/Jerusalem ya leo). So mtu huyu was know kwa wakazi wa mji huo but pamoja na ufalme wake, alikua pia kuhani ( kiongozi wa kidini) So bado nasisitiza huyu hakua mtu unknow, he was known and famous.
Mkuu, nimeisoma hiyo KJV ipo sawa na unavyo sema though bado siajona tofauti na Kiswahili, hebu pafikirie hapo kwenye bold, hi ni kutoka kwenye maandishi yako we mwenyeweMkuu, unataka tubishane kwa kuumia mtungo wa sentensi? Si vema hata kidogo, lakini nikuulize, unaelewa maana ya semi colon? Alama ;
Hii hapa kwa kiingereza, kama unajenga fundisho kwa kutumia mabano:
Hebrews 7 (KJV)
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
² To whom also Abraham gave a tenth part of all; first being by interpretation King of righteousness, and after that also King of Salem, which is, King of peace;
³ Without father, without mother, without descent, having neither beginning of days, nor end of life; but made like unto the Son of God; abideth a priest continually.
Mabano yaliwekwa na waliotafsiri kiswahili kusaidia msomaji, lakini halikuwa lengo lao kujenga maana potofu kama hicho unachojaribu kufanya
Au labda utusaidie ni neno lipi lenye kubeba maana zote hizo kati ya melkisedeki na salem. Kumbuka haya ni maneno ya kawaida katika lugha ya kiebrania.
OK, ngoja tusome pamoja sura ya 7 ya Waebrania, tuanze msatari 1 hadi 2, pameandikwa hivi, 1 Kwa maana Melkezedeki huyo, mfalmewa Salem, kuhani wa Mungu aliye juu, aliyekutana na Ibrahimu alipokua akirudi katika kuwapiga hao wafalme, akambariki; 2 ambaye Ibrahimu alimgawia sehemu ya kumi ya vitu vyote; (tafsiri ya jina lake kwanza ni mfalme wa haki,bali amefananishwa na mwana wa Mungu); huyo adumu kuhani milele. unadhani kwanini pamewekewa mabano? Na Biblia ipo wazi kabisa hapo, sijui kinacho changanya ni nini? Imesema tafsiri ya hilo JINA ndio hizo sifa. Ni kama kuna kina Immanuel/Emmanuel wengi tu lakini wana bisha kabisa kwamba hakuna Mungu ingawa tafsiri ya jina lao ni Mungu pamoja na sisi. Bado naendelea kuamini (kwa mujibu wa haya maandiko) huyo mtu/Melkizedeki alikua anajulikana na wakazi wa huo mji wa Salem na hata yeye na Ibrahimu walikua wakifahamiana na alikua anazo kazi 2, moja ni kuhani na mfalme wa huo mji wa Salem kama alivyokua Samuel, Eli, wote hawa walikua ni makuhani na wafalme kwa taifa la Israel likiwa bado jipya jipya sana Enzi hizo kabla ya Yesu lakini baada ya MusaHakuna ushahidi uliopatikana kuuhusisha Yerusalem na Salem, isipokuwa wasomi wanajaribu kukisia kuwa huenda Yerusalemu imetokana na Salem. Ni mawazo tu, uwe makini na michango ya kuungaunga.
Kama huyo Melkisedeki alikuwa maarufu kama unavyodai, je kuna nyaraka nyingine zozote zinazomwongelea? Pia ni kwa nini habari zake zionekane kuwa na utata? Usijaribu kusema uongo kwenye mjadala wa kuelimishana. Hatushondani hapa kutafuta mshindi.
hermēneuō - interpateMkuu, nimeisoma hiyo KJV ipo sawa na unavyo sema though bado siajona tofauti na Kiswahili, hebu pafikirie hapo kwenye bold, hi ni kutoka kwenye maandishi yako we mwenyewe
Ok, iko hivi. Tuanze na hiyo mistari, lakini kabla tupate maana ya semi colon (😉.OK, ngoja tusome pamoja sura ya 7 ya Waebrania, tuanze msatari 1 hadi 2, pameandikwa hivi, 1 Kwa maana Melkezedeki huyo, mfalmewa Salem, kuhani wa Mungu aliye juu, aliyekutana na Ibrahimu alipokua akirudi katika kuwapiga hao wafalme, akambariki; 2 ambaye Ibrahimu alimgawia sehemu ya kumi ya vitu vyote; (tafsiri ya jina lake kwanza ni mfalme wa haki,bali amefananishwa na mwana wa Mungu); huyo adumu kuhani milele. unadhani kwanini pamewekewa mabano? Na Biblia ipo wazi kabisa hapo, sijui kinacho changanya ni nini? Imesema tafsiri ya hilo JINA ndio hizo sifa. Ni kama kuna kina Immanuel/Emmanuel wengi tu lakini wana bisha kabisa kwamba hakuna Mungu ingawa tafsiri ya jina lao ni Mungu pamoja na sisi. Bado naendelea kuamini (kwa mujibu wa haya maandiko) huyo mtu/Melkizedeki alikua anajulikana na wakazi wa huo mji wa Salem na hata yeye na Ibrahimu walikua wakifahamiana na alikua anazo kazi 2, moja ni kuhani na mfalme wa huo mji wa Salem kama alivyokua Samuel, Eli, wote hawa walikua ni makuhani na wafalme kwa taifa la Israel likiwa bado jipya jipya sana Enzi hizo kabla ya Yesu lakini baada ya Musa
Agano Jipya lugha yake ya Asili ni Kigiriki na wala siyo kiingereza kwa hiyo hapa unafanya kosa unalodhani nimefanya.
Biblia ya Kiswahili (agano Jipya) ilitafsiriwa direct kutoka kwenye Kigiriki na siyo Kiingereza.
Hiyo ni point ya kwanza
Lakini lets us use your argument, kwamba badala ya kutumia neno "Kama", tuuangalie huo msitari kwa mantiki ya maneno "In the order of Melkizedek", bado inaprove kuwa hawa ni watu wawili tofauti, mathalani kwa upande wa wana Israel Makuhani wote waliofuata baada ya AARON wanahudumu in "the order of Aaron", inamaanisha wanadumisha huduma ileile iliyokusudiwa na Aaron haimaanishi kuwa wao ndiyo Aaron re-incarnate
Kwa hiyo hata Yesu naye ni Kuhani katika order ya Melkizedeki maana yake ni kwamba kama Jinsi Melkizedeki alivyokuwa Kuhani mtumishi wa Mungu aliyejuu sana ndivyo hivyohivyo jinsi Yesu alivyo Kuhani mtumishi wa Mungu aliyejuu sana.
Tukija kwenye Ishu ya umama, ishu ya Yesu kuwa na mama tangu kuzaliwa,
Ishu ya MAMA ni ishu ya hapa DUNIANI, Ukiondoa Adamu na Eva hakuna aliyewahi kuwa BINADAMU hapa duniani bila Kuzaliwa na Mwanamke.
Hakuna Ushahidi kuwa Huko Mbinguni viumbe walioko huko huzaliwa na Mwanamke/Mama
Kwa hiyo kujaribu kusisitiza kuwa existence ya Yesu kabla ya kuja duniani ilikuwa bila mama haina maana yoyote kwenye muktadha wa majadiliano yetu maana Ishu ya mama significance yake ni hapa duniani siyo huko Mbinguni
Kuhusu baadhi ya viumbe kuonekana katika umbo la mtu bila kuzaliwa na mwanamke hapa duniani, Malaika wao huonekana kama kuvaa miili ya Watu wakati mwingine lakini Siyo BINADAMU maana hawakuzaliwa na Uzao wa Adamu yaani ( WATU)
Hapa tena nikusahihishe; lugha ya asili ya Agano la Kale si Kigiriki. Na sikusema ni Kiingereza. Lugha ya AK ni Kiebrania (Hebrew). Lugha ya Agano Jipya (AJ) ndio Kigiriki/Kiyunani. Nashukuru wengine wameshasema hapo juu nawe umekubali kupotea kidogo hapo. Maelezo ya suala la "order" au "mpangilio" au "utaratibu" unakaribia maana ya asili ya Kiebrania. Kuna ndugu yangu mmoja hapo juu kaeleza vizuri zaidi. Ukuhani wa Order ya Melkizedeki una watu "wawili" tu - mtu mmoja tu.
Yesu Kristu kama Neno la Milele, Alfa na Omega, Mwana wa Pekee wa Baba, ametoka kama binadamu katika historia nzima ya wokovu. Hili huitwa kuonekana kwa Yesu kama mwanadamu kabla ya kuzaliwa (Christ's theophanies). Kwa hiyo kwa Ibrahim alionekana kama Melkizedeki (somo la siku nyingine hili).
Shida yako hapa bado iko kwenye lugha na siyo katika kumwelewa Kristo ni nani. Ukifuata lugha unaweza kuwa sahihi; lakini ukifuata ujuzi wa kumjua Kristo ni nani hasa (siyo tu kusema Yesu) utajua kuwa Yesu ni zaidi ya kuwa binadamu. Kuelewa hii Christology (elimu juu ya Kristu) na jinsi gani Wakristu kwa miaka 2000 wamemuelewa Kristu basi utaelewa kwanini Melkizedek anaweza kuwa ni Kristu bila kutupa matatizo yoyote ya kiimani.
Hapa tena bado unakutana na tatizo hili hili la lugha na kutoelewa Christology. Ngoja nikuulize swali (linahusiana na uelewa wa hii elimu juu ya Kristu). Kwa nini unafikiri Yesu Kristu anaitwa "Mwana" wa Mungu?
Hata hapa bado unakaribiwa na tatizo lile lile. Ni wazi unaamini kuwa Yesu ni binadamu wa kawaida tu kama mimi na wewe. Hana upekee wa aina yoyote. Na kama hivi ndivyo unaamini basi utaona asili au chanzo cha shida iliyopo kuhusu Melkizedek na Yesu.
OK, ngoja tusome pamoja sura ya 7 ya Waebrania, tuanze msatari 1 hadi 2, pameandikwa hivi, 1 Kwa maana Melkezedeki huyo, mfalmewa Salem, kuhani wa Mungu aliye juu, aliyekutana na Ibrahimu alipokua akirudi katika kuwapiga hao wafalme, akambariki; 2 ambaye Ibrahimu alimgawia sehemu ya kumi ya vitu vyote; (tafsiri ya jina lake kwanza ni mfalme wa haki,bali amefananishwa na mwana wa Mungu); huyo adumu kuhani milele. unadhani kwanini pamewekewa mabano? Na Biblia ipo wazi kabisa hapo, sijui kinacho changanya ni nini? Imesema tafsiri ya hilo JINA ndio hizo sifa. Ni kama kuna kina Immanuel/Emmanuel wengi tu lakini wana bisha kabisa kwamba hakuna Mungu ingawa tafsiri ya jina lao ni Mungu pamoja na sisi. Bado naendelea kuamini (kwa mujibu wa haya maandiko) huyo mtu/Melkizedeki alikua anajulikana na wakazi wa huo mji wa Salem na hata yeye na Ibrahimu walikua wakifahamiana na alikua anazo kazi 2, moja ni kuhani na mfalme wa huo mji wa Salem kama alivyokua Samuel, Eli, wote hawa walikua ni makuhani na wafalme kwa taifa la Israel likiwa bado jipya jipya sana Enzi hizo kabla ya Yesu lakini baada ya Musa
" kujionyesha kwa wanadamu na kuishi nao ". hii ni lazima azaliwe ndivyo utabiri unavyotaka rejea ISAYA , hivyo ni watu wawili tofauti hapa naweka kumbukumbu sawasawaKwa hiyo njia pekee ya Yesu kujionyesha kwa wanadamu ni kuzaliwa? Kwa ushahidi upi?