Meli huwa inapelekwaje baharini?

Meli huwa inapelekwaje baharini?

Miaka 50 ya uhuru lakini bado akili zetu hazijabadilika kabisa,hili swali alitakiwa aulize mtoto wa chekechea tu,Kweli mama ndalichako kazi anayo katika wizara yake
Hujasikia Kwamba kuna kashfa ya vitabu feki vya kufundishia watoto shuleni......
Huenda ni miongoni wa waliofundishiwa vitabu feki.!
 
Miaka 50 ya uhuru lakini bado akili zetu hazijabadilika kabisa,hili swali alitakiwa aulize mtoto wa chekechea tu,Kweli mama ndalichako kazi anayo katika wizara yake
Napenda kukutaarifu ya kwamba meli inajengwa pembeni ya tundu lako la pua ila upande wa kushoto.mwalimu hewa a.k.a mwalimu hema.
Umesema wewe ni mwalimu?

Ok
Watanzania wengi huwa ni wajinga sana wao hudhan wanacho kijua wao basi kila mtu anakijua na kufikiri kuuliza pia ni ujinga na ndio maana weajinga wanaongezeka ,

kila mtu hujua vitu vinavyo mzunguka kwa undani zaid kuliko vingine ambavyo vipo mbal nae ambavyo anaweza kuvijua ila si kiundan zaid, na ndio maana kuna wengine wanajua viazi mviringo vinachumwa kama maembe kwa vile ni kitu ambacho hajawai kukiona katiks mazingira zaid ya kuona kiazi tayar,

jaman acheni ujinga na kujifanya nyie ni wajuzi wa kila kitu elimu haina mwisho na kila mtu kuna asicho kijua hata kama ni kidogo hivyo kuelimishana ni jambo jema badala ya kukejeli na ninadhan vijitu ambavyo havina shule yaan havijaelimika ndio vya kwanza kukejeli na hiyo ndio kitu ambacho kwao ni defending mechanism ya ujinga wao.

Na waweza kuta pamoja na kujifanya kumkejeli muulizaji hata vyenyewe havikijui kilicho ulizwa ila basi kutaka kujionesha kwa watu kuwa vinajua wakati huo vikisubiri majibu navyo viondoe ujinga wao vichwani mwao
 
Ukijua kisha ukajielewa we ndo mjuaji kuliko wote tabu sana.haya baba kujua ndo umeisha jua sana.taratibu angalia ulipo kalia hilo tawi unalokata ndilo ulilokalia.kwa sababu we ni mjuvi,utaanguka wewe,tawi na shoka lako.
 
viwanda vya kutengeneza meli huwa vinajengwa fukweni au kwenye bandari maalumu(floating habour) au bandari inayoelea.hii hurahisisha movement ya meli kwenda kuanza kazi pale inapokamilika
Hujamuelewa mleta mada.Anamaanisha kwa mfano kiwanda cha meli kipo South Korea na meli inanunuliwa ili kutumika kanda ya ziwa.Inabebwaje hapo?Mimi nafikiri jibu lake ni kwamba vinaagizwa vifaa toka huko viwandani then vinasfirishwa na kuundiwa kando kando ya ziwa au bahari itakapotumika.
 
Mnaikumbuka ile meli kipindi kile magufuli waziri wa ujenzi na usafirishaji kama sikosei ilitakiwa safirishwa lakini ikaonekana ikibebwa yote barabara hazitahimili ikabidi ivunjwe vipande kama sikosei..sas huko ndo kusafirishwa kwa meli kwenyewe!!..
 
Najiuliza kila siku kiwanda cha meli kikoje? Kiko karibu na bahari au vipi? Na kama sio? Meli huwa inapelekwaje baharini kuanza majukumu ndugu zangu, maana nimejiuliza muda mrefu nakosa majibu.

Naomba msaada wenu wadau.
Yan namm nliwai kujiulza lkn majb cjayapata, unakuta meli n kuubwa sijui wanatengenezaje...
 
Njooo huku Itungi port Kyela Mbeya uone wanavyotengeneza MELI na ukishindwa nenda YOTUBE andika how they make ship
 
Kinachoniumiza moyo ni pale ambapo mtoa mada MWALIMU atakapoulizwa swali hili na mwanafunzi wake wa tatu sijui atajibu nini?
 
Yan namm nliwai kujiulza lkn majb cjayapata, unakuta meli n kuubwa sijui wanatengenezaje...

Mara nyingi kiwanda cha meli au karakana yake huwekwa karibu kabisa na bahari.Kama ni meli ndogo huwekwa kwenye eneo la kina cha wastani na kama ni meli kubw zaidi kama MSC na zile za kampuni ya MESSINA huwekwa maeneo yenye kina kirefu zaidi mara nyingi maeneo ya Bandari ndo huwa na kina kirefu.
Mara nyingi sehemu hizi huandaliwa kama yale majukwaa wanayotumia wakati wa KUJENGA mafundi ujenzi.Ila utofauti wa hapa kuwa eneo hili linakuwa na uwazi chini ambao huwa unajazwa maji baada ya meli kukamilika.
kwa hiyo meli inatengenezwa katika eneo hilo hadi inakamilika kisha wanajaza maji hadi usawa ilipo meli kisha wanayatoa yale majukwaa na meli inaelekea bahari kubwa....

cc Mwalimu hema
 
Back
Top Bottom