Watanzania wengi huwa ni wajinga sana wao hudhan wanacho kijua wao basi kila mtu anakijua na kufikiri kuuliza pia ni ujinga na ndio maana weajinga wanaongezeka ,
kila mtu hujua vitu vinavyo mzunguka kwa undani zaid kuliko vingine ambavyo vipo mbal nae ambavyo anaweza kuvijua ila si kiundan zaid, na ndio maana kuna wengine wanajua viazi mviringo vinachumwa kama maembe kwa vile ni kitu ambacho hajawai kukiona katiks mazingira zaid ya kuona kiazi tayar,
jaman acheni ujinga na kujifanya nyie ni wajuzi wa kila kitu elimu haina mwisho na kila mtu kuna asicho kijua hata kama ni kidogo hivyo kuelimishana ni jambo jema badala ya kukejeli na ninadhan vijitu ambavyo havina shule yaan havijaelimika ndio vya kwanza kukejeli na hiyo ndio kitu ambacho kwao ni defending mechanism ya ujinga wao.
Na waweza kuta pamoja na kujifanya kumkejeli muulizaji hata vyenyewe havikijui kilicho ulizwa ila basi kutaka kujionesha kwa watu kuwa vinajua wakati huo vikisubiri majibu navyo viondoe ujinga wao vichwani mwao