Edward Wanjala
JF-Expert Member
- Nov 3, 2016
- 8,122
- 6,429
Hhhhhhhhh! Kusema tu, haihusikani na Uzi lakini kuna mwaka ikatangazwa kwamba Watahiniwa asilimia 80 walifeli mtihani Tz, lilikuwa ni jambo la kunishangaza sana mimi! Kumbe hii kukurupuka kisa na maana!!?Wabongo bana, yaani huwa mnakimbilia kujibu nyuzi bila kusoma na ndio maana huwa mnaanguka mitihani na kujazana division zero watupu.
Hhhhhhhhh! Kusema tu, haihusikani na Uzi lakini kuna mwaka ikatangazwa kwamba Watahiniwa asilimia 80 walifeli mtihani Tz, lilikuwa ni jambo la kunishangaza sana mimi! Kumbe hii kukurupuka kisa na maana!!?
Hahahahah, huyu Masoud, Cartonist ni wa kwao?Huwa wanadunda balaa.
Yep, anaitwa masoud kipanya wa vikaragosi[emoji3] [emoji191] [emoji90]Hahahahah, huyu Masoud, Cartonist ni wa kwao?
Oooh My!!! That is really funny, hata yeye mwenyewe anaona!! Duuh! Kweli Uswahilini kuna mamboYep, anaitwa masoud kipanya wa vikaragosi[emoji3] [emoji191] [emoji90]
😀😀😀😀😀!Oooh My!!! That is really funny, hata yeye mwenyewe anaona!! Duuh! Kweli Uswahilini kuna mambo
Oooh My!!! That is really funny, hata yeye mwenyewe anaona!! Duuh! Kweli Uswahilini kuna mambo
Hhhhhhhhh! Kusema tu, haihusikani na Uzi lakini kuna mwaka ikatangazwa kwamba Watahiniwa asilimia 80 walifeli mtihani Tz, lilikuwa ni jambo la kunishangaza sana mimi! Kumbe hii kukurupuka kisa na maana!!?
BBC Imeongezea, hata hivyo wanafunzi hufanya mtihani karibu million moja, kumaanisha 170% of 5,101 ni 8,672 ambayo ni 0.9% (9/1000) of the learners usione kama ni number kubwa. Na haimaanishi kwamba walioiba hawajui, ni competition inawazuzua, wakija kule Bongo wanapata namba moja hadi wamwisho ndo upate mmoja wenu!!!!
Kha!! hizo takwimu za wapi. Wafanya mtihani kidato cha nne karibia 1,000,000 unamaanisha 999,999 sio?BBC Imeongezea, hata hivyo wanafunzi hufanya mtihani karibu million moja, kumaanisha 170% of 5,101 ni 8,672 ambayo ni 0.9% (9/1000) of the learners usione kama ni number kubwa. Na haimaanishi kwamba walioiba hawajui, ni competition inawazuzua, wakija kule Bongo wanapata namba moja hadi wamwisho ndo upate mmoja wenu!!!!
Don't shoot the messenger, BBC ndio walioweka. Halafu wamesema ni wanafunzi wa sekondari tuu sio wote so, nina imani na namba za BBC maana sidhani kama Kenya ina wanafunzi milioni moja wanao maliza elimu ya sekondari kila mwaka.BBC Imeongezea, hata hivyo wanafunzi hufanya mtihani karibu million moja, kumaanisha 170% of 5,101 ni 8,672 ambayo ni 0.9% (9/1000) of the learners usione kama ni number kubwa. Na haimaanishi kwamba walioiba hawajui, ni competition inawazuzua, wakija kule Bongo wanapata namba moja hadi wamwisho ndo upate mmoja wenu!!!!
Kha!! hizo takwimu za wapi. Wafanya mtihani kidato cha nne karibia 1,000,000 unamaanisha 999,999 sio?
Hebu nipe hizo proof kama sio uongo.
We are talking about Secondary School.
Wakenya bana ndugu zangu hawa wananipaga mafleva hatari sasa ukiwakuta wanaichambua Tanzania in different aspects like meanwhile education sasa utajikuta unauliza na hii ni kenya yao au wamepakaziwa
Get it at it's best reality
Kenya tutawapa msaada wa madawati sababu sisi yametuzidi mpaka hatuna pa kuyaweka kwa kweli mnatia huruma ndugu zetu mna hali ngumu haswaYep, anaitwa masoud kipanya wa vikaragosi[emoji3] [emoji191] [emoji90]