Nyaru-sare JF-Expert Member Joined Aug 2, 2019 Posts 5,261 Reaction score 3,679 Sep 15, 2021 #41 cabo said: Nadhani utakuwa umekosea kuniquote hebu kaangalie vizuri unaetakiwa kumquote kabla mashetani yangu ya rufiji hayajanipanda nikujibu #shwain Click to expand... Rufiji pale kuna majini maskini sana! hata shetani aliyakana! kwa hiyo Mkuu Baba una milikiwa na vijini maskini, Nenda Moshi, au Mugango upatae jini tajiri Kiuno thema tyuu ukweli Bongo daisalama huijui kabisaaa!!
cabo said: Nadhani utakuwa umekosea kuniquote hebu kaangalie vizuri unaetakiwa kumquote kabla mashetani yangu ya rufiji hayajanipanda nikujibu #shwain Click to expand... Rufiji pale kuna majini maskini sana! hata shetani aliyakana! kwa hiyo Mkuu Baba una milikiwa na vijini maskini, Nenda Moshi, au Mugango upatae jini tajiri Kiuno thema tyuu ukweli Bongo daisalama huijui kabisaaa!!
Hismastersvoice JF-Expert Member Joined Jan 26, 2013 Posts 21,741 Reaction score 26,735 Sep 15, 2021 #42 Nyendo said: Meli kubwa ya kifahari duniani AZAMARA CRUISE yatua Dar na watalii 600 kutoka Marekani, Japan, China, Taiwan na Uingereza. Meli hiyo imetia nanga kwenye gati jipya la kisasa lililoboreshwa ambalo ni sehemu ya maboresho yanayoendelea Bandarini. View attachment 1317264View attachment 1317263 Click to expand... Ndiyo maana mafuta yameshuka bei, kumbe!
Nyendo said: Meli kubwa ya kifahari duniani AZAMARA CRUISE yatua Dar na watalii 600 kutoka Marekani, Japan, China, Taiwan na Uingereza. Meli hiyo imetia nanga kwenye gati jipya la kisasa lililoboreshwa ambalo ni sehemu ya maboresho yanayoendelea Bandarini. View attachment 1317264View attachment 1317263 Click to expand... Ndiyo maana mafuta yameshuka bei, kumbe!
K kissa anyigulile JF-Expert Member Joined Apr 21, 2017 Posts 1,550 Reaction score 1,742 Sep 15, 2021 #43 MIXOLOGIST said: Kwa picha hii tutajuaje kama hapo ni Dar es Salaam Mkuu, embu jiongeze Click to expand... Angalia Yale maghorofa. Stesheni pale. Au wewe mtu wa Mwandiga?
MIXOLOGIST said: Kwa picha hii tutajuaje kama hapo ni Dar es Salaam Mkuu, embu jiongeze Click to expand... Angalia Yale maghorofa. Stesheni pale. Au wewe mtu wa Mwandiga?
K kissa anyigulile JF-Expert Member Joined Apr 21, 2017 Posts 1,550 Reaction score 1,742 Sep 15, 2021 #44 Kumbe tumbuatumbua huwa inaleta ufanisi! Mbona haya mambo hayakuwepo?
EvilSpirit JF-Expert Member Joined Jun 15, 2017 Posts 10,576 Reaction score 16,644 Sep 15, 2021 #45 MIXOLOGIST said: Kwa picha hii tutajuaje kama hapo ni Dar es Salaam Mkuu, embu jiongeze Click to expand... Hapo ni ubungo
MIXOLOGIST said: Kwa picha hii tutajuaje kama hapo ni Dar es Salaam Mkuu, embu jiongeze Click to expand... Hapo ni ubungo