Meli kubwa ya mafuta ya Iran yashika moto

Meli kubwa ya mafuta ya Iran yashika moto

Yamafuta au ya kivita, tulia utuhabarishe vizuri.
Sikia mkuu hii meli ilikuwa yamafuta, ikafanyiwa modifications ikawa ya kijeshi ikaanza safari yake kuelekea Venezuela juzi wakati USA anasimania mazungumzo ya Mkataba wa Nuclear wa Iran CIA wakaifatilia baada ya kuitilia shaka wakajua inakoelekea wakaonywa waachane na huo mpango.

Kilichotokea ni "natural accident"
 
Hawa watu wakorofi sana, walimchapa Mungu Yesu mijedi, wahuni sana hawa.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] say all you want ila hapa hahusiki ni ajali tu kwani wamesema.imeshambuliwa?[emoji2371][emoji2371][emoji2371][emoji2371]
 
Wafuga midevu na wavaa madira mpo?....njooni huku mtemi wenu kashavuliwa chupi mchana kweupe [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji2958][emoji2958][emoji2958][emoji2958][emoji2958] wanatafuta vyanzo vyao kwanza wataanza na "FAKE NEWS"

Baadae hakuna majeruhi wale makomandoo waliruka woote[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ila israel waonevu sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Palestina wamechezea nakoz za kutosha Iran nae kachezea za kolomero aiseee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] we jamaa mchonganishi sana wakija.aisee usiniunganishe.kwenye ugomvi wao Morogoro kaskazini STRUGGLE MAN kuna jamaa anawachokoza huku
 
[emoji2958][emoji2958][emoji2958][emoji2958][emoji2958] wanatafuta vyanzo vyao kwanza wataanza na "FAKE NEWS"

Baadae hakuna majeruhi wale makomandoo waliruka woote[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wanahaha sana saivi wakitafuta backup ya habari
 
Hiyo meli imepata ajali tu lingeua shambuliz
wangekufa watu wote cha ajabu kwenye tukio hil hakuna mfanyakaz wa meli hiyo iliepata hata mkwaluzo pia hii meli imetengenezwa miaka ya sabini tatizo wayahudi wa jamii forum tangu hamas waipigishe magoti israel mmekuwa mkijifariji kwa mambo ya ajabu sana
 
Ukiilaani Israel umelaaniwa ukiibariki Israel utabarikiwa hivyo Iran ni bora wangeacha vita na Israel wataendelea kukumbwa na majanga hivi hivi
 
Ukiilaani Israel umelaaniwa ukiibariki Israel utabarikiwa hivyo Iran ni bora wangeacha vita na Israel wataendelea kukumbwa na majanga hivi hivi
Nishailaani sana mimi binafsi na sijaona nimelaaniwa. Maneno tu hayo,acheni uoga wa maisha bana uache kupiga kazi ukiwaza laaana!!! Hata ukiumwa kichwa utasingizia ni ile laana.

Mtu mweusi zinduka leo achana kuogopa ndana za kizamani
 
Back
Top Bottom