Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Kufanya kazi melini kwa sasa hivi unatakiwa uwe na vyeti hasa usomee Tz maana kusomea nje ni ghari pia unasomea kuchomelea na safety hiyo inakupa faida kwa kufanya kazi zote melini na mshahara unaongezeka kazi zipo ni kusoma tuu na kuendelea kuomba maana watu wanapokezana kwenye kampuni moja kwa mwaka mzima na meli zipo nyingi pamoja na oil lig zinazochimba mafuta na utafiti melini hela zipo melini fanya usome tuu level yeyote wanachukua..Jamani na mie ni fundi ambae kwa fani yangu naweza kufanya kazi melini,je nitumie mbinu ama njia gani kuweza kupata kazi katika mameli kama hayo