Meli kubwa ya mizigo yashindwa kukwamuliwa katika Mfereji wa Suez kwa siku ya tatu

Jamani na mie ni fundi ambae kwa fani yangu naweza kufanya kazi melini,je nitumie mbinu ama njia gani kuweza kupata kazi katika mameli kama hayo
Kufanya kazi melini kwa sasa hivi unatakiwa uwe na vyeti hasa usomee Tz maana kusomea nje ni ghari pia unasomea kuchomelea na safety hiyo inakupa faida kwa kufanya kazi zote melini na mshahara unaongezeka kazi zipo ni kusoma tuu na kuendelea kuomba maana watu wanapokezana kwenye kampuni moja kwa mwaka mzima na meli zipo nyingi pamoja na oil lig zinazochimba mafuta na utafiti melini hela zipo melini fanya usome tuu level yeyote wanachukua..
 
Niliwahi kukutana na mfilipino ana miaka 19 tu yupo melini.......huyu kapataje kazi ya ubaharia
 
Watailipua wakiona hawawezi kuitoa
 
Mawazo ya k vant iliyoexpaya
 
Niliwahi kukutana na mfilipino ana miaka 19 tu yupo melini.......huyu kapataje kazi ya ubaharia
Wafiripino ni cheap labour makampuni mengi yana mawakala wa kuwatafutia kazi hao huko nchini kwao kwa wanaume wanawake wanatafutiwa kazi za ndani hapo Hong Kong,Korea kusini na Kwa singa singa hao wasiokua na professional wanaajiliwa kama decker au wafuta oil huko engine room au kutumwa na mafundi wakuu huko engine room...
 
Mjapani anaondoa meli hiyo kwa siku moja trust me mtakuja kuniambia iro iro ossewani narimashita! Sayounaraaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…