Thubutu!!! wataenda kuonyesha "KICHUGUU" Kiitwacho mlima kenya na kuwaambia ndio mlima kilimanjaro maana zilenjia za panya walizokuwa wanawapitisha sasa zimefungwa.Angalizo.wakiwaulizia mlima Kilimanjaro upo wapi?naomba muwaonyeshe ulipo.
[emoji23][emoji23]sawa mkuu ila mi siyo wa hukooKwa kweli pigeni tu hiyo MIHAYO. Rudi kwenu Bukoba kama Chuga kumekushinda!
bila kusahau Olduvai gorgeAngalizo.wakiwaulizia mlima Kilimanjaro upo wapi?naomba muwaonyeshe ulipo.
Kama siyo wa huko ulijifunzia wapi kuandika MIHAYO badala ya miayo?[emoji23][emoji23]sawa mkuu ila mi siyo wa hukoo
[emoji23][emoji23][emoji23]Kama siyo wa huko ulijifunzia wapi kuandika MIHAYO badala ya miayo?
By the way, I am just joking bruh! Usichukulie siriazi...
Depay i have never been to south Coast!!! Those pictures are amazing!! For sure tourists cant resist!! Na hizi meli zinakuja kwa fujo!!! nadhani mara hii itavunjwa record!! Hatuaangalia waliokuja kwa ndege!!
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Wazungu wameenda kuangalia specie ya watu wanaotandikwa makofi na wake zao
Guys, let's not battle. Hatuvumi lakini tumo. [emoji116] [emoji116]Been there upto Shimoni man. The place is just awesome.We need to have a jf meet. Asap! Tourism infrastructure is quite well developed especially at the Diani area.
Si huu mlima wakienda Tsavo ama Amboseli wanuona vizuri tu?
Pia lazima waone huu mlima
The difference ni kuwa iko hapa hadi january meaning chrismas na new year watakuwa kenyaIlipita na Dar pia, wala sio ajabu. Hiyo inazunguka nchi nyingi
Kwani Dar ilikaa mda gani?The difference ni kuwa iko hapa hadi january meaning chrismas na new year watakuwa kenya