mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Askari wa kweli ni yule anayeficha mapungufu ya jeshi lake kwa maadui.Ongereni wakenya sie kwetu bado tunamsiba tumefiwa na FARU JOHN hivyo watalii wamepungua kwa ajiri yake alikuwa kivutio sana kwenye sector ya utalii. Sasa watz bado tunamsiba ila hatujazika tangu tusikie amekufa tumeletewa pembe tu. TANZANIA NCHI YANGU.