Meli nyingine ya kifahari yawasili Kenya na watalii 900

Meli nyingine ya kifahari yawasili Kenya na watalii 900

Wewe nimekuambia kichwani hazimo na huenda ni ufinyu wa exposure. Yaani kitu unachokiona wewe kipya unadhani ni cha ajabu sana. Mwenzako ameleta mada ya kuhusu meli wewe unaongelea chumvi. Nadhani lengo lako tushangae kumbe unaonekana mshamba kiaina.

Kwa TZ mambo ya chumvi ni ya kawaida sana. Ufukwe kuanzia Tanga mpaka Mtwara uvunaji wa chumvi ni hali ya juu.
Pia Kigoma eneo la Uvinza wewe google utaona na aibu itakukaa. Acha ushamba rudi kwenye mada kuhusu meli. Inayopita Kenya na Tanzania.

Now, If you just had a piece of brain. Just a little of it, like that of a chicken to be slaughtered over Christmas, You should have even had the courtesy of reading through my comments. My opening remark is.... "Welcome to the Kenyan coast Folks".. . They have landed on the Kenyan coast, some of them I am aware will check online just to check on the places they are going to visit. Now here you are, You seem to be on heat and want a taste of samosas from every shop.Learn to be courteous. You look too bad already.Pole....
 
Umegundua kama nyie ni maboya?
Nyie ni washamba kinoma yaani.

Washamba kwa lipi, kwa kutembelewa na watalii wengi kiasi hicho? Sijakuelewa, na kama tungekua washamba hatungeitawala EAC yote na Afrika ya kati. Tungekua maskini kama nyie na kuachia nchi inatafunwa kama shamba la bibi. Wakenya sisi wajanja wa mjini, tunatamba na kutanua, hivi karibuni tutaitawala Afrika, subiri mtaisoma tu namba.
 
Si tunanunua ndege kwanza na kushangilia meli zenye malori ya dangote
 
Now, If you just had a piece of brain. Just a little of it, like that of a chicken to be slaughtered over Christmas, You should have even had the courtesy of reading through my comments. My opening remark is.... "Welcome to the Kenyan coast Folks".. . They have landed on the Kenyan coast, some of them I am aware will check online just to check on the places they are going to visit. Now here you are, You seem to be on heat and want a taste of samosas from every shop.Learn to be courteous. You look too bad already.Pole....
Andika kiswahili. Mbona unajua kiswahili vizuri tu. Au wajifanya ma wewe mwingereza!? Wakati ni mweusi tii. Kwani ukiandika kwa kiswahili utapungukiwa na nini?
 
Washamba kwa lipi, kwa kutembelewa na watalii wengi kiasi hicho? Sijakuelewa, na kama tungekua washamba hatungeitawala EAC yote na Afrika ya kati. Tungekua maskini kama nyie na kuachia nchi inatafunwa kama shamba la bibi. Wakenya sisi wajanja wa mjini, tunatamba na kutanua, hivi karibuni tutaitawala Afrika, subiri mtaisoma tu namba.
Al Shabab wanawatungua kila kukicha leo waota kutawala Africa Mashariki!! Ama kweli kichaa hujiona ni boss.
Hebu nipatie hiyo hadith yako.
Je, mnaitawala vipi? Wakati njaa tu imewashinda kuitawala kwenye matumbo yenu binafsi.
Utalii wenu unashuka kwa kasi sana. Je, kwenye utalii mnaitawala vipi? Mlizoea vya kunyonga huku mkiwabeba wazungu mgongoni na kufanya ulaghai eti vivutio vya tanzania vipo Kenya huku mkisaidiwa na mabwanyeye zenu weupe.
Sasa hivi wamejua ukweli mmebaki na hadith za mambo ya historia.

Kenya inakipi cha maana kwenye utalii? Zaidi ya ulaghai wenu ambao sasa watalii wote wameshituka na kuanza kuwakimbia.
Mmekuja na mbinu ya single visa mmeangukia pua. Sasa hivi mnahaha mtoke vipi. Nawaonea huruma sana majirani zangu. Ule upuuzi mlioufanya kipindi kile utawaghalimu sana maisha yenu yote. Tunawapeleka mpera mpera mpaka mtapotea njia.
 
Washamba kwa lipi, kwa kutembelewa na watalii wengi kiasi hicho? Sijakuelewa, na kama tungekua washamba hatungeitawala EAC yote na Afrika ya kati. Tungekua maskini kama nyie na kuachia nchi inatafunwa kama shamba la bibi. Wakenya sisi wajanja wa mjini, tunatamba na kutanua, hivi karibuni tutaitawala Afrika, subiri mtaisoma tu namba.
Mtaitawala afrika?[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Washamba kwa lipi, kwa kutembelewa na watalii wengi kiasi hicho? Sijakuelewa, na kama tungekua washamba hatungeitawala EAC yote na Afrika ya kati. Tungekua maskini kama nyie na kuachia nchi inatafunwa kama shamba la bibi. Wakenya sisi wajanja wa mjini, tunatamba na kutanua, hivi karibuni tutaitawala Afrika, subiri mtaisoma tu namba.
Mnatawala nani??[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Nyie ni washamba kinoma,
Hiyo meli na nyingine mob zimetoka hapa bongo na hakuna aliyehangaika Nazo, nyie huko mmeweka mapokezi ya Kitaifa, hehehe.
Nakumbuka vile Obama alichaguliwa US president nyie jamaa mliweka public holiday, wakati hata wamarekani wenyewe hawakuweka.
Hehehe.. Kenyans ni viumbe wa ajabu sana.
 
Andika kiswahili. Mbona unajua kiswahili vizuri tu. Au wajifanya ma wewe mwingereza!? Wakati ni mweusi tii. Kwani ukiandika kwa kiswahili utapungukiwa na nini?
Hahaha....
 
6170270056_16eef0f595_b.jpg
Cuy5bkqXYAALcDz.jpg
14736365_347899415559766_8307535359802081280_n.jpg

14736365_347899415559766_8307535359802081280_n.jpg
4609227418_a999f89030_b.jpg

The CHYULU Hills.
6165885953_1b7f8b7aa7_b.jpg
 
Mnatawala nani??[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Nyie ni washamba kinoma,
Hiyo meli na nyingine mob zimetoka hapa bongo na hakuna aliyehangaika Nazo, nyie huko mmeweka mapokezi ya Kitaifa, hehehe.
Nakumbuka vile Obama alichaguliwa US president nyie jamaa mliweka public holiday, wakati hata wamarekani wenyewe hawakuweka.
Hehehe.. Kenyans ni viumbe wa ajabu sana.

Kwa nyie kutokijua kingereza huwa kunawafanya muwe washamba sana, comments zenu zinadhihirisha uelewa mdogo sana kiakili. Wanasayansi walishafanya utafiti wa umuhimu wa kujifunza lugha zaidi ya moja, hivyo wacha kukaa hapo kitaa kama boya ukapate darasa la jioni la kingereza.

Ambia mtu mwenye uelewa wa kingereza akutafsririe hizi taarifa kabla hujaendelea kuanika umbumbumbu wako humu. Taarifa zinasema watakwenda Zanzibar baada ya Kenya. Hiyo ni baada ya sisi kuwatafuna hela zao, baada ya kuwaonyesha mlima Kilimanjaro na kutafuna hela ndio tutawaachia waende Zanzibar.

Ujio wa watalii kwetu huwa jambo la maana sana maana sisi ni wajanja wa mjini na tunajua jinsi ya kutumia fursa na kukwapua hela kwa vivutio vichache tulivyo navyo. Sio kama nyie mumejaa na vivutio vyote zaidi ya nchi zote Afrika lakini wakija kazi yenu ni kukenua meno tu halafu mnawaachia wanapita. Kwa vivutio mlivyo navyo mlifaa kuongoza Afrika, lakini uzembe na majungu vimewafanya mumebaki kuwa maskini wa kutupwa.
 
Ndio maana ninasema wewe kuna baadhi kichwani hazipo salama. Mwenzako anaongelea meli wewe unakuja na porojo.
Nadhani utakuwa na mtindio wa ubongo. Nakushauri nenda kwa daktari kabla ya miaka arobaini la sivyo utawehuka na kurukwa na akili.

Mwana, ni nini kimekusibu ,kila mara kufoka?
Tatizo nini?
Utapatwa na msongo wa damu(blood pressure) bure bilashi , jipe nafasi kidogo tu ukapumue...enhe!
 
Awwwwww some people are really pissed huh?

Dude is so freaking pissed!...ha!.hadi namhurumia maskini!....I am seriously worried about him!
Kuna jambo linamtatiza sana maishani akatafute usaidizi mapema.
 
Mwana, ni nini kimekusibu ,kila mara kufoka?
Tatizo nini?
Utapatwa na msongo wa damu bure bilashi (blood pressure), jipe nafasi kidogo tu ukapumue...enhe!
Bilashi ndio blood pressure...?no kiswahili au umeandika lugha gani?
 
Back
Top Bottom