Meli nyingine ya kifahari yawasili Kenya na watalii 900

Mbona hayo mambo ya kawaida sana hapa TZ.
Halafu Meli aina ya Silver Cloud Ipo Zanzibar Sasa hivi
Meli ya Kitalii ya Silver Cloud Yatia Nanga Bandari ya Zanzibar | Magazeti ya Tanzania - Tanzania Newspapers | Magazetini

MEli1.JPG

Hebu cheki hapa mwaka jana Meli za kitalii zilikuwa zinapishana hapa bongo
Meli2.JPG
Meli3.JPG
Meli4.JPG
 
Aaaw... Kumbe ilikuwa Zanzibar? Nice.
Sasa unapokuja na kujilingishia lingishia hapa nini wakati Jana tu ilikuwa Tanzania. Waringishie waganda ambao hawawezi kupata watalii kwa njia ya Meli. Kwanza kwenu hakuna beaches za maana. Tanzania ndio Baba lao kwa upande wa Beaches. Nikianza kukupa Kuanzia Tanga, Pwani, Lindi, Mtwara, Mwanza, Kigoma, Mbeya na Zanzibar beaches nyingi za kumwaga. Nyie sasa hivi mnapumulia mpira kwenye utalii. Utalii Kenya Unashuka kwa kasi wakati Tanzania unapanda kwa kasi.
 
Aaaaw Sawa.
 
Ongereni wakenya sie kwetu bado tunamsiba tumefiwa na FARU JOHN hivyo watalii wamepungua kwa ajiri yake alikuwa kivutio sana kwenye sector ya utalii. Sasa watz bado tunamsiba ila hatujazika tangu tusikie amekufa tumeletewa pembe tu. TANZANIA NCHI YANGU.
 
Back
Top Bottom