Tim Choice
JF-Expert Member
- Sep 28, 2013
- 2,088
- 1,261
Una faidika vipi na utalii wa nchi yako?
stupid question
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una faidika vipi na utalii wa nchi yako?
Acha hasira.jibu swali.stupid question
stupid question
Pobga?[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Mwambie aulize Pobga hilo swali
Kawaida yenu ni exaggerations... Next mtasema you are the largest economy in the world....Nchi inayoshindwa hadi na Rwanda. Duuh!Mapato yatokanayo na watalii:
Kenya USD milioni 800 kwa mwaka.
Tanzania USD bilioni 2.5 kwa mwaka.
Kenya mkashindane na Somalia kwa utalii sio Tanzania , nyie mmezidiwa hadi na nchi ndogo kama Shelisheli na Mauritius .
Endelea kujitekenya na kucheka mwenyewe tu. Bado wachanga mno kwa utalii nyie.Kawaida yenu ni exaggerations... Next mtasema you are the largest economy in the world....Nchi inayoshindwa hadi na Rwanda. Duuh!
Kweli jina lako latosha mimi kukuelewa!!Una faidika vipi na utalii wa nchi yako?
Mwingine ni gameover.... Yaani amefika mwishoKweli jina lako latosha mimi kukuelewa!!
Endelea ku
Endelea kujitekenya na kucheka mwenyewe tu. Bado wachanga mno kwa utalii nyie.
Lol!! Wewe na vituko vyako! Kwani kwa akili yako unaona mambo kama haya bado yanafanyika karne hizi? Ama ni huku Dar? Kenya watu ni wasomi, sio kama huko kwenu man!! Check levels of literacy in Africa! Hiyo habari unayoweka pale sijui ikatoka wapi mwandishi asiyejulikana na yeyote naye wewe unamwamini! Hivi mimi ni blogger nikiandika kitu tu ya Tanzania ndio utakuwa ukweli? Hizi ni report za Organizations zinazotumiwa kutafuta pesa na mashirika kama haya na hutia chuku tele kwa mambo. Mashirika kama haya yalifukuzwa Kenya kuanzia mwaka wa 2013.Sababu inayofanya watalii waje Kenya ni moja tu, ngono na watoto wa kike waliotopea kwenye umasikini wa kutisha.
CONCERNS ABOUT CHILD SEX TOURISM IN KENYA
Poverty and lack of opportunities have resulted in a high prevalence of child sex tourism in the Kenyan coastal cities of Diani, Kilifi, Malindi and Mombasa.
Poverty has been targeted by Kenyan authorities as the main reason behind child sex tourism, with some parents’ even urging their children to become involved, making the action very difficult to stop. Titus Kangargi, chairman of the Kenya Association of Hoteliers stated that "The parents, most of whom happen to be poor, instead encourage their daughters [to sell sex] so as to supplement their family earnings".
The UN ‘Report on the Extent and Effect of Sex Tourism and Sexual Exploitation of Children on the Kenyan Coast’, documents that there is a high acceptance rate of child sex tourism among the Kenyan tourism industry. Such acceptance of illegal action against children is attracting those tourists who wish to engage in Child sex tourism to Kenya, undermining the legitimacy of the tourism industry.
Concerns about Child Sex Tourism in Kenya
Nakwambia hawa jamaa ni taaban. Hadha alshshaib la mushkila wamushkilatan!!Mwingine ni gameover.... Yaani amefika mwisho
Umeelewa swali?Kweli jina lako latosha mimi kukuelewa!!
Jibu swali jomba.acha janja janja.Mwingine ni gameover.... Yaani amefika mwisho
Unawachokoza al shabab. [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Nakwambia hawa jamaa ni taaban. Hadha alshshaib la mushkila wamushkilatan!!
Unajitekenya na kucheka mwenyewe, wanaosema hayo ni haohao wazungu wanaokutengenezea hizo levels za literacy.Lol!! Wewe na vituko vyako! Kwani kwa akili yako unaona mambo kama haya bado yanafanyika karne hizi? Ama ni huku Dar? Kenya watu ni wasomi, sio kama huko kwenu man!! Check levels of literacy in Africa! Hiyo habari unayoweka pale sijui ikatoka wapi mwandishi asiyejulikana na yeyote naye wewe unamwamini! Hivi mimi ni blogger nikiandika kitu tu ya Tanzania ndio utakuwa ukweli? Hizi ni report za Organizations zinazotumiwa kutafuta pesa na mashirika kama haya na hutia chuku tele kwa mambo. Mashirika kama haya yalifukuzwa Kenya kuanzia mwaka wa 2013.
Lakushangaza hii report yako inahusu taarifa za 2004 had 2006! Kwani wewe unaishi kinyumenyume?
Lol!! Wewe na vituko vyako! Kwani kwa akili yako unaona mambo kama haya bado yanafanyika karne hizi? Ama ni huku Dar? Kenya watu ni wasomi, sio kama huko kwenu man!! Check levels of literacy in Africa! Hiyo habari unayoweka pale sijui ikatoka wapi mwandishi asiyejulikana na yeyote naye wewe unamwamini! Hivi mimi ni blogger nikiandika kitu tu ya Tanzania ndio utakuwa ukweli? Hizi ni report za Organizations zinazotumiwa kutafuta pesa na mashirika kama haya na hutia chuku tele kwa mambo. Mashirika kama haya yalifukuzwa Kenya kuanzia mwaka wa 2013.
Lakushangaza hii report yako inahusu taarifa za 2004 had 2006! Kwani wewe unaishi kinyumenyume?