MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
- Thread starter
- #81
Lugha ya nn ?!
Maana umeitamka vyema sana hongera kijana
Ila naendelea kukukumbusha kama hauielewi tofauti iliopo baina ya hao jamaa elimu yako haijakusaidia kitu
Namshkuru Mungu Nilishaftari MKUU...
Sent using My COVID-19
Aaha! Kumbe njaa ya futuru ndio ilikua inakutatiza, anyway kama nilivyosema watu wa makanzu hamuna tofauti, ukianza kuyavaa mnakua mazombi fulani hivi na kukana jamii zenu, hamna cha usukuma, uajemi n.k.