Haya tumejua tusiyoyajua... usisahau Update mgomo wa Madaktari, sio mambo mazuri tu hata yanayohuzunisha pia
Kwavile ni katika maisha tunapitia hapa duniani
on a good day, unaeza ukauona mlima kilimanjaro kutoka CBD nairobi! huo ni umbali wa zaidi ya 200kmKWS waongo sana, walitwambia ukiwa Park ya Shimba hill mlima Kilimanjaro unauona vizuri. Basi tulipofika wakaanza kuweka sababu za mawingu eti ndo yameuziba.
perhaps haujui brandkenya, hao watu pamoja na ttour agents wa Kenya wanaweza kukuuzia chochote.... they can make you bilieve god came from mt.kenya.....hehekwann msije tu moshi ili muushuhudie vizuri zaidi.
Kenya ni wizi wizi tuu na maisha ya kunga unga, hakuna jipya.Hahahaha... Wivuuu... Hiyo inakumaliza.Hakuna kitu kinachoitwa Migiro Duniani. Nenda darasani tena..... Nyie ndo mnataka kuwaibia Wamalawi ziwa... nyie... mwizi ni nani sasa.... Mungu anawaona
Kenya ni wizi wizi tuu na maisha ya kunga unga, hakuna jipya.
Hahaha ukifikiri utachonganisha REAL Tanzania's, think again.Jitembeze... Hamna mapya unachotuambia hapa.... I have come to know all you ccm bootlickers come to the kenyan forum to diarrhea because you can't hold the negative views by Ukawa foot soldiers.
Hahaha ukifikiri utachonganisha REAL Tanzania's, think again.
It is always very beautiful when you get to the top of KICC and see it! I have personally seen it and especially at around 8-9 am in the morning! Something funny, you can still see Mt. Kenya from the same spot!!!!on a good day, unaeza ukauona mlima kilimanjaro kutoka CBD nairobi! huo ni umbali wa zaidi ya 200km
View attachment 443446
It is always very b
It is always very beautiful when you get to the top of KICC and see it! I have personally seen it and especially at around 8-9 am in the morning! Something funny, you can still see Mt. Kenya from the same spot!!!!
Kwanza ni wakati wa likizo hehe hyo iko MSA mpaka Jan sasaHilo hatutakawia kuwatafuna hela kwa kuwaambia waende wakauone. Kwanza hawa hawatakua na haja ya kuukwea, hivyo tunawapeleka maeneo ya karibu karibu na kuwaonyesha mlima halafu tunapiga hela, kisha wanageuza na kurudi kwenye meli.
2nd tallest worldwide [emoji23]Hahaha.... Wakati wowote nikitoka Mombasa kwenda Nairobi... naambiwa, "On your left is the highest mountain in the continent".... Hapo sijaambiwa the highest in Tz. So in my imagination najua juu niko ndani ya KQ then lazima rasli mali nayoonyeshwa ni ya Kenya.....Na ujue wakti huo kuna wazungu wanotoka Netherlands, Germany, UK, France, Spain, Portugal, Ireland, Norway, Denmark... Wote wanafikiria vile navyofikiria Don't worry... That's what they call cut throat competition.