MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
- Thread starter
- #21
Haya tumejua tusiyoyajua... usisahau Update mgomo wa Madaktari, sio mambo mazuri tu hata yanayohuzunisha pia
Kwavile ni katika maisha tunapitia hapa duniani
Suala la madaktari linahuzunisha na wengi hatuna raha na tunaomba suluhu ipatikane, wahusika wote wanalifanyia kazi, sisi sio kama nyie kitu kama hiki kikitendeka kwenu mnafanya mambo yasio. Unakumbuka mlichomfanyia daktari Ulimboka.