Meli ya kifahari yawasili Kenya na watalii

Meli ya kifahari yawasili Kenya na watalii

Haya tumejua tusiyoyajua... usisahau Update mgomo wa Madaktari, sio mambo mazuri tu hata yanayohuzunisha pia

Kwavile ni katika maisha tunapitia hapa duniani

Suala la madaktari linahuzunisha na wengi hatuna raha na tunaomba suluhu ipatikane, wahusika wote wanalifanyia kazi, sisi sio kama nyie kitu kama hiki kikitendeka kwenu mnafanya mambo yasio. Unakumbuka mlichomfanyia daktari Ulimboka.
 
KWS waongo sana, walitwambia ukiwa Park ya Shimba hill mlima Kilimanjaro unauona vizuri. Basi tulipofika wakaanza kuweka sababu za mawingu eti ndo yameuziba.
on a good day, unaeza ukauona mlima kilimanjaro kutoka CBD nairobi! huo ni umbali wa zaidi ya 200km
httpwww_capitalfm_co_kelifestylefiles201204mt-kilimanjaro-19th-floor_small.jpg
 
kwann msije tu moshi ili muushuhudie vizuri zaidi.
perhaps haujui brandkenya, hao watu pamoja na ttour agents wa Kenya wanaweza kukuuzia chochote.... they can make you bilieve god came from mt.kenya.....hehe

Soma reviews hapa, this kind of stuff is what you read before deciding where to go... now tell me if you wont want to go to amboseli after reading this
you wont even want to view the mt from Tz anymore
Best views of Mount Kilimanjaro - Amboseli National Park reviewed by Sunworld Safaris
 
Hahahaha... Wivuuu... Hiyo inakumaliza.Hakuna kitu kinachoitwa Migiro Duniani. Nenda darasani tena..... Nyie ndo mnataka kuwaibia Wamalawi ziwa... nyie... mwizi ni nani sasa.... Mungu anawaona
Kenya ni wizi wizi tuu na maisha ya kunga unga, hakuna jipya.

e674bd79be3a100b4d03a95faf7253d5.jpg
 
Kenya ni wizi wizi tuu na maisha ya kunga unga, hakuna jipya.

e674bd79be3a100b4d03a95faf7253d5.jpg

Jitembeze... Hamna mapya unachotuambia hapa.... I have come to know all you ccm bootlickers come to the kenyan forum to diarrhea because you can't hold the negative views by Ukawa foot soldiers.
 
Jitembeze... Hamna mapya unachotuambia hapa.... I have come to know all you ccm bootlickers come to the kenyan forum to diarrhea because you can't hold the negative views by Ukawa foot soldiers.
Hahaha ukifikiri utachonganisha REAL Tanzania's, think again.
 
Hahaha ukifikiri utachonganisha REAL Tanzania's, think again.

Shida yako you think Danganyika is in the center of the world when it barely exits in the periphery.... Hiyo kiinchi iko wapi???
 
It is always very b
on a good day, unaeza ukauona mlima kilimanjaro kutoka CBD nairobi! huo ni umbali wa zaidi ya 200km
View attachment 443446
It is always very beautiful when you get to the top of KICC and see it! I have personally seen it and especially at around 8-9 am in the morning! Something funny, you can still see Mt. Kenya from the same spot!!!!
 
Then Hass towers once completed at 300m will offer even better views of the two mountains. Something we should exhaust as an attraction in our capital city.
 
Tanzania has not gained international traction! If you watch Many international news channels, the probability of getting Kenyan news to Tanzania news is 10/1
COX7JzlW8AARg88.jpg:large

COX3zXMUwAATrIn.jpg:large

COYTiiZU8AA0nZe.jpg:large
 
Hilo hatutakawia kuwatafuna hela kwa kuwaambia waende wakauone. Kwanza hawa hawatakua na haja ya kuukwea, hivyo tunawapeleka maeneo ya karibu karibu na kuwaonyesha mlima halafu tunapiga hela, kisha wanageuza na kurudi kwenye meli.
Kwanza ni wakati wa likizo hehe hyo iko MSA mpaka Jan sasa
 
Hahaha.... Wakati wowote nikitoka Mombasa kwenda Nairobi... naambiwa, "On your left is the highest mountain in the continent".... Hapo sijaambiwa the highest in Tz. So in my imagination najua juu niko ndani ya KQ then lazima rasli mali nayoonyeshwa ni ya Kenya.....Na ujue wakti huo kuna wazungu wanotoka Netherlands, Germany, UK, France, Spain, Portugal, Ireland, Norway, Denmark... Wote wanafikiria vile navyofikiria Don't worry... That's what they call cut throat competition.
2nd tallest worldwide [emoji23]
 
Back
Top Bottom