Meli ya kivita ya Iran yakimbia nduki na kuomba hifadhi Sri lanka

Rais wa Marekani, Donald Trump amesema hakutakuwa na makubaliano na Iran, isipokuwa ameitaka ijisalimishe bila masharti.

Wakati hayo yakijiri, Rais wa Urusi, Vladimir Putin amezungumza na Rais wa Iran na kumpa pole kwa vifo vilivyotokea, huku akisisitiza kupatikane usuluhishi wa kidiplomasia.
 
Hii vita italeta athari kubwa sana....kwa nchi nyingi zisizo husika.
 
Amani Kwa Wote
Inatakiwa Wakae Mezani Waondoee Tofauti Zao
Watu Wataisha Kuuwawa
 
Balaaaa mpaka aljazeera wanaomba wakaee waelewanee hahahaa..........ilee shehee yetuu tumeiweka kwa mda tu

Kusink kukoo palepalee...tukionq Haiti tunaifwata hukohuko srilanka
 
MZEE KASEMA ANANZA NA TARIFF KWANZA KWA SRILANKA.....
 
Iran iombe po mambo yasiwe makubwa na kuaibika vitani
Viongozi waliopo hawawezi kutokana na namna wanavyosujudia kiti cha mfalme(Ayatolah).
Wamemtawaza mtoto wa Khamenei, Trump kasema hamtaki, wachague mwingine atakayelingana na maslahi ya US.
Mwishowe viongozi watamalizwa wote ama watakimbia nchi.
 
Mkiambia wavaa misalaba haziwatoshi mnabisha we unajua hiyo meli imetokea wapi? Ilienda kwenye event kule india kabla ya vita sa vipi unataka irudi na hawana hata silaha kweli ukanisa ni ujinga mtupu.

Nyie kubsl8ni tu Iran sio size yenu.
 
Wkt Waisrael wanaishi kwenye Mapango Jiji linageuzwa. Chini juuu💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥
Sawa tushangilie basi kwa kumkatia mauno Allah na Mudi kwa ushindi huu mkubwa. Haya kammon kata hilo uno.
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…