Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Meli moja ya kivita iitwayo USNS Big Horn imeharibika kama ambavyo inadaiwa picha zimekuwa zikirushwa mitandao kuifanya Marekani ianze kutoa taarifa ya tukio hilo.
Meli hiyo imepata athari kama hiyo karibu na eneo la bahari ya Oman .Hata hivyo mabaharia wa meli hiyo wako salama ingawaje wazungumzaji wa kwenye mitandao wamekuwa wakisema imezama zamani na pahala pake kuchukuliwa na meli ya Henry J. Kaiser-class yenye majukumu sawa na USNS big horn