"Meli ya Mgiriki Mzamiaji (Stowaway) haingii"

Kuna mzee yupo mitaa ya Kijito Nyama maeneo karibu na Ngalawa pub yeye alizamia meli.
Anaitwa Babu Jane (Bob Journey) ukimpa mtonyo au ukikaa nae meza moja atakueleza visa vyote vya kuzamia meli.
Na mshikaji wangu Alizamia meli south Africa ilipofika libya wakadakwa wakarudishwa bongo hakarud tena south Africa wakadanda meli ikaenda kumwacha katika kisiwa cha mayote Ambacho kipo chini ya serekali ya ufaransa Aliishi hapo kama miaka mitatu kisha Akaingia ufaransa sasa yupo ufaransa kuzamia meli kunaitaji uwe katili sana siyo kitoto
 
Kipindi kile mambo ya mparange hayakuwepo
 
Unazamia na mikate yako na juisi za sayona.
 
Miaka hiyo...

Nasikia jamaa walikuwa wakikudaka wanakuuliza....

"wagalaile, wagalai?", yaan tukutose ama twokumoto?

Nadhan zilikuwa kamba za vijiweni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…