"Meli ya Mgiriki Mzamiaji (Stowaway) haingii"

"Meli ya Mgiriki Mzamiaji (Stowaway) haingii"

Kuna mzee yupo mitaa ya Kijito Nyama maeneo karibu na Ngalawa pub yeye alizamia meli.
Anaitwa Babu Jane (Bob Journey) ukimpa mtonyo au ukikaa nae meza moja atakueleza visa vyote vya kuzamia meli.
Na mshikaji wangu Alizamia meli south Africa ilipofika libya wakadakwa wakarudishwa bongo hakarud tena south Africa wakadanda meli ikaenda kumwacha katika kisiwa cha mayote Ambacho kipo chini ya serekali ya ufaransa Aliishi hapo kama miaka mitatu kisha Akaingia ufaransa sasa yupo ufaransa kuzamia meli kunaitaji uwe katili sana siyo kitoto
 
Mabaharia wengi waliozamia au waliokuwa na harakati za kuzamia meli miaka ya nyuma wanakumbuka changamoto za kupanda meli na kutorokea nje ya nchi.

Wagiriki ndio nchi iliyokuwa na meli nyingi zipatazo asilimia 23 ya meli zinazofanya biashara duniani.

Kutokana kipindi hicho melini kutokuwepo sheria za wazamiaji, Mabaharia wengi wa meli za kigiriki ilikuwa wakimkamata mzamiaji wanamfanyia vitendo vichafu mpaka ikafikiwa hatua ya meli zao kuogopwa na wazamiaji.
Kipindi kile mambo ya mparange hayakuwepo
 
Na mshikaji wangu Alizamia meli south Africa ilipofika libya wakadakwa wakarudishwa bongo hakarud tena south Africa wakadanda meli ikaenda kumwacha katika kisiwa cha mayote Ambacho kipo chini ya serekali ya ufaransa Aliishi hapo kama miaka mitatu kisha Akaingia ufaransa sasa yupo ufaransa kuzamia meli kunaitaji uwe katili sana siyo kitoto
Unazamia na mikate yako na juisi za sayona.
 
Miaka hiyo...

Nasikia jamaa walikuwa wakikudaka wanakuuliza....

"wagalaile, wagalai?", yaan tukutose ama twokumoto?

Nadhan zilikuwa kamba za vijiweni
 
Back
Top Bottom