majid hussen
Member
- Nov 17, 2016
- 54
- 38
Na mshikaji wangu Alizamia meli south Africa ilipofika libya wakadakwa wakarudishwa bongo hakarud tena south Africa wakadanda meli ikaenda kumwacha katika kisiwa cha mayote Ambacho kipo chini ya serekali ya ufaransa Aliishi hapo kama miaka mitatu kisha Akaingia ufaransa sasa yupo ufaransa kuzamia meli kunaitaji uwe katili sana siyo kitotoKuna mzee yupo mitaa ya Kijito Nyama maeneo karibu na Ngalawa pub yeye alizamia meli.
Anaitwa Babu Jane (Bob Journey) ukimpa mtonyo au ukikaa nae meza moja atakueleza visa vyote vya kuzamia meli.