Babu Kijiwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2010
- 4,830
- 4,729
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MUNGU mbariki magufuli
Siku ukiacha mawazo ya kikoloni basi rudi tena hapa kuja kujadili hii kazi nzuri iliyo fanywa na mh Rais.Kwahiyo ndo meli ya kwanza kuingia nchi hii ili tumpatie utawala milele?? Je watangulizi wake hawajayafanya hayo?? Mv liemba toka mwaka 1914 inafanya kz lake Tanganyika, vp hiyo hamuioni?? mnaonaje na wao wakirudi kujakuitawala Tanganyika?? Reli ya kati iliyojengwa na mjerumani je?? Acheni ushamba wa madaraka ninyi uvccm...mtakuwa mapimbi hadi lini?? Sifa nyingine ni za kijinga na ulimbukeni....toka enzi hzo, meli zipo , ndege zipo, barabara zipo na vivuko vipo...kipi ambacho magufuri kakifanya hakijafanyika toka nchi ipate uhuru????
Nikivuta kumbukumbu hii meli ilifanyiwa ukarabati mkubwa tena enzi za mkapa ,,,ni meli nzuri sana.
Ila inabidi ziwa victory lipate meli mpya kubwa kuliko hiyo mbili,bukoba abiria na mizigo kutoka mz to bukoba na verse vesa ni mkubwa mno,inatakiwa meli mbili ziwe zinapishana,,yaani usafiri uwepo kila siku
Na ww cku ukitumia kichwa chako vzr urudi hapa kuja kujadili maendeleo na si maigizo ya kishambaSiku ukiacha mawazo ya kikoloni basi rudi tena hapa kuja kujadili hii kazi nzuri iliyo fanywa na mh Rais.
Andika vizuri kwanza mkuu.Na ww cku ukitumia kichwa chako vzr urudi hapa kuja kujadili maendeleo na si maigizo ya kishamba