BUSH BIN LADEN
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 8,447
- 19,425
Hongera JPM aka chuma ila hili la kuongoza milele sikubaliani nalo tuandalie tu mwingine atakae tosho kwenye viatu vyako.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna moja matata itakamilika mwakani.Nikivuta kumbukumbu hii meli ilifanyiwa ukarabati mkubwa tena enzi za mkapa ,,,ni meli nzuri sana.
Ila inabidi ziwa victory lipate meli mpya kubwa kuliko hiyo mbili,bukoba abiria na mizigo kutoka mz to bukoba na verse vesa ni mkubwa mno,inatakiwa meli mbili ziwe zinapishana,,yaani usafiri uwepo kila siku
Saa hizi upatikanaji wa ndizi mwanza sio ishu tena,wenye fuso watafute kazi zingine,,pia maharage,viazi,parachichiNategemea bei za bidhaa za vyakula kama ndizi,samaki na matunda kushuka.
Nikiwa narudi Mwanza my favourite food ntapata kwa bei rahisi(Ndizi samaki).
Aise hizi neema za mnyaazmungu kwa utawala huu wa Magu.
Mkuu ule ukarabati wa enzi za Mkapa ile pesa ililiwa na ungeambiwa mchanganuo wake hata wewe ungetoa chozi.Nikivuta kumbukumbu hii meli ilifanyiwa ukarabati mkubwa tena enzi za mkapa ,,,ni meli nzuri sana.
Ila inabidi ziwa victory lipate meli mpya kubwa kuliko hiyo mbili,bukoba abiria na mizigo kutoka mz to bukoba na verse vesa ni mkubwa mno,inatakiwa meli mbili ziwe zinapishana,,yaani usafiri uwepo kila siku
Lumumba kweli mataga
Kwani wewe zaidi unataka nini akiongezewa mda kama anatuletea maendeleoHongera JPM aka chuma ila hili la kuongoza milele sikubaliani nalo tuandalie tu mwingine atakae tosho kwenye viatu vyako.
Kwahiyo ndo meli ya kwanza kuingia nchi hii ili tumpatie utawala milele?? Je watangulizi wake hawajayafanya hayo?? Mv liemba toka mwaka 1914 inafanya kz lake Tanganyika, vp hiyo hamuioni?? mnaonaje na wao wakirudi kujakuitawala Tanganyika?? Reli ya kati iliyojengwa na mjerumani je?? Acheni ushamba wa madaraka ninyi uvccm...mtakuwa mapimbi hadi lini?? Sifa nyingine ni za kijinga na ulimbukeni....toka enzi hzo, meli zipo , ndege zipo, barabara zipo na vivuko vipo...kipi ambacho magufuri kakifanya hakijafanyika toka nchi ipate uhuru????
Magufuli ni Rais kweli kweli.
Wapinzani wakubali tu kumsimamisha Maalim kule Zanzibar lakini Bara hakuna namna hatutaki Mtu mwingine kwa sasa.
Magufuli anatosha kwenye Urais.
Wapinzani wajitikeze wamuunge mkono ili Urais apite na hata kama watagombea waepuke sana kumkejeli mana wananchi watazidi kuuchukia upinzani.
Ubunge kwa kweli bado CCM haina wabunge wanaowakilisha wananchi.
Wabunge wengi wanawakilisha viti vyao na familia zao. Wapo kimaslahi.
Ubunge kwa kweli wapinzani wajitahidi kugombea hasa akina mama . Wabunge wa Upinzani wanaume wana tamaa sana ya vyeo wapigwe chini. Hasa Mbowe apigwe chini hata kwa kuiba kura ili ajikite kwenye kujenga Chama chake kwani ameshindwa kuwakilisha wananchi.
Magufuli amejitahidi sana sana kujenga nchi na kwenda mbele zaidi kutoka alipoachiwa na Komredi Jakaya.
Yap mbona inajengwa hapo mwanza inaitwa MV mwanzaNikivuta kumbukumbu hii meli ilifanyiwa ukarabati mkubwa tena enzi za mkapa ,,,ni meli nzuri sana.
Ila inabidi ziwa victory lipate meli mpya kubwa kuliko hiyo mbili,bukoba abiria na mizigo kutoka mz to bukoba na verse vesa ni mkubwa mno,inatakiwa meli mbili ziwe zinapishana,,yaani usafiri uwepo kila siku
Gharama zilizotumika kukarabati meli mbovu ya kale zingetumika kununua meli mpya ya kisasa, endeleeni kusifia ujinga wa awamu hii.Aise hizi neema za mnyaazmungu kwa utawala huu wa Magu.
Yap mbona inajengwa hapo mwanza inaitwa MV mwanza
Hapana kuna kampuni ya Korea hapo na ndo wamekarabati hii piaNdio inajengwa na kampuni ya Songoro?