Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
Kuna mafara TZ yanaona JPM kaleta mapya, kwa kweli ni ujinga mkubwa kusema kuwa JPM kaleta vitu vipya, wenye akili tunanajua hakuna jipya chini ya jua, JPM hana jipya, hata Nyerere hakuwa na jipya aliendeleza yaliyoanzishwa na wakoloni hata alipokufa alifia kwa wakoloni huko UK.
Enyi vinyamkela wa lumumba kawadanganyeni wazaramo kuwa JPM anachapa kazi wkt na yeye ni mpiga deal tu kama hao waliomtangulia
Enyi vinyamkela wa lumumba kawadanganyeni wazaramo kuwa JPM anachapa kazi wkt na yeye ni mpiga deal tu kama hao waliomtangulia
Kwahiyo ndo meli ya kwanza kuingia nchi hii ili tumpatie utawala milele?? Je watangulizi wake hawajayafanya hayo?? Mv liemba toka mwaka 1914 inafanya kz lake Tanganyika, vp hiyo hamuioni?? mnaonaje na wao wakirudi kujakuitawala Tanganyika?? Reli ya kati iliyojengwa na mjerumani je?? Acheni ushamba wa madaraka ninyi uvccm...mtakuwa mapimbi hadi lini?? Sifa nyingine ni za kijinga na ulimbukeni....toka enzi hzo, meli zipo , ndege zipo, barabara zipo na vivuko vipo...kipi ambacho magufuri kakifanya hakijafanyika toka nchi ipate uhuru????