Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wajinga ndio mitaji ya Masisiemu yaani Kudanganywa na Meli ndio wanaona serikali inawajali,wajinga wanashindwa kujua kwamba sasa ni kipindi cha uchaguzi.Hapa kwenye meli amegusa Sana wakazi wa bukoba na mwanza aisee.
Sehemu haikutosha ya bandariView attachment 1491483View attachment 1491484View attachment 1491486
Sio ajabu kuna watu wanaombea izame na watu waliomo chomboni wafe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]....
Hawa hawana tofauti na wale waliokuwa wanaombea ile idadi ya Wamarekani waliokufa kwa Corona ndio iwe huku kwetu
Hata kama ni uchaguzi.Wajinga ndio mitaji ya Masisiemu yaani Kudanganywa na Meli ndio wanaona serikali inawajali,wajinga wanashindwa kujua kwamba sasa ni kipindi cha uchaguzi.
Hayo matatizo uliyoyaeleza yamesababisha na serikali ya CCM,wanakusanya kodi inabidi iwahudumie wananchi,kama tangu 2014 walikuwa hawana meli basi ndio failure hiyo ya serikali ya ccm,MV dar-es-salaam "MTU FURANI" alinunua lakini ndani ya mwezi ikafilia mbali watu wakapiga Biii nane!! Tunalipa kodi serikali inabidi itimize wajibu wake ,serikali kuleta maendeleo sio hisani ni wajibu na inatakiwa watekeleze ontime na ndio maana tunawalipa mishahara DC,RC,DED,DAS,Wabunge etc ili watuhudumie kutuletea maendeleo ,ukione serikali haijaleta maendeleo huku ikikusanya kodi basi imefeli inapaswa iondolewe kwenye sanduku la kura.Hata kama ni uchaguzi.
Lakin tangu MV bukoba imezama na meli zaidi ya kumi kuharibika na mwishowe 2014 MV Victoria nayo ikafa bandari ya bukoba na mwanza zilipooza.
Mama ntirie,bodaboda,wachuuzi,wabeba mizigo tena Kwa bukoba route ya daladala ziendazo bunena ( bandarini) ilikufa kabisa wakati ndo ilikuwa na abiria wengi Sana .sasa meli ikirudi lazima wanyonge hawa wafurahi Sana pamoja na maswahibu ya tetemeko yaliyowakumba.
Meli ni rahisi kupanda kuliko hata ndege maana nauli yake ni ndogo kuliko hata basi
Mkuu mbona una majungu? najua unamaanisha ni sisi CHADEMA,Ila kwa taarifa yako tutapinga tu,kifupi tunasema NDIO na wewe ukisema NDIO sie tunabadili tunasema SIO.Sio ajabu kuna watu wanaombea izame na watu waliomo chomboni wafe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]....
Hawa hawana tofauti na wale waliokuwa wanaombea ile idadi ya Wamarekani waliokufa kwa Corona ndio iwe huku kwetu
One picture, million words!
Wazee wa kusubiri litokee ili wakosoe!Ili meli hizo zilete faida inabidi mfumo wa kampuni ubadilishwe na uwekwe mfumo wa kampuni za meli wa kisasa.
Hapo wana wataalamu wa Navigation, Engineering na Ship Construction. Kuna watu muhimu wa ship business hawapo hao ndio wanajua nini kipatikane na faida itakayokuja.Uongozi huo ubadilike na waje na mifumo ya kisasa.
Mchawi wa mambo yetu ni sisi wenyewe, wizara ya ujenzi kuna miamba sio watu wa Marine ila wao ndio waamuzi.
Mabaya yote kwenye masuala ya meli kuna watu wengine ni expert wa marine na wengine sio wamefanya kukwamisha juhudi za serikali tangu zamani.
Mwenzetu ameepushiwa kifo heri yake.Mkuu Jiandae kisaikolojia maana utaugua magonjwa mazito,jpm is the life president. #jpm for life presidency.
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Lakin hata kama CCM haikuikarabati mapema.Hayo matatizo uliyoyaeleza yamesababisha na serikali ya CCM,wanakusanya kodi inabidi iwahudumie wananchi,kama tangu 2014 walikuwa hawana meli basi ndio failure hiyo ya serikali ya ccm,MV dar-es-salaam "MTU FURANI" alinunua lakini ndani ya mwezi ikafilia mbali watu wakapiga Biii nane!! Tunalipa kodi serikali inabidi itimize wajibu wake ,serikali kuleta maendeleo sio hisani ni wajibu na inatakiwa watekeleze ontime na ndio maana tunawalipa mishahara DC,RC,DED,DAS,Wabunge etc ili watuhudumie kutuletea maendeleo ,ukione serikali haijaleta maendeleo huku ikikusanya kodi basi imefeli inapaswa iondolewe kwenye sanduku la kura.
Mkuu sijataja mtu au kikundi chochote cha kihuni [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu mbona una majungu? najua unamaanisha ni sisi CHADEMA,Ila kwa taarifa yako tutapinga tu,kifupi tunasema NDIO na wewe ukisema NDIO sie tunabadili tunasema SIO.