Meli ya nne ya Urusi yaungua Black Sea jion hii

Duuh, tena..?!!!
Watasababisha 'ngumi jiwe' akate moto kwa presha!
 
Kwanza kabla hii ya nne hivi ile ya tatu mbona hamjaweka picha ha ha ha ha ha ha

Habari mpya usiku huu kamanda mwingine wa marekani ameuawa huko maikolaiv
 
So, its confirmed that Admiral Makarov has not been sunk. She was seen coming into the Sevastopol and also seen operating alongside her fellow sister Essen near Sevastopol. This makes 2 of the 3 Ukrainian claims of ships sunk false. Only Moskva was actually sunk but boy was that a big loss.
#εpsilon
 
Kwanza kabla hii ya nne hivi ile ya tatu mbona hamjaweka picha ha ha ha ha ha ha

Habari mpya usiku huu kamanda mwingine wa marekani ameuawa huko maikolaiv
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hebu nicheke kwanza
 
Kuna Makombora fulani kutoka UK ,,Ukr ndio wanayatumia kushambulia yaani ni mwiba kwa Russia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…