Meli ya nne ya Urusi yaungua Black Sea jion hii

Meli ya nne ya Urusi yaungua Black Sea jion hii

Mtoa post mbona hujaweka video au picha ya hio meli inayoungua?
 
Kwanza kabla hii ya nne hivi ile ya tatu mbona hamjaweka picha ha ha ha ha ha ha

Habari mpya usiku huu kamanda mwingine wa marekani ameuawa huko maikolaiv
huyu bwana analalizimisha tusimwamini, Meli ya tatu hatukuiyona kabisa na hii ya nne katuwekea nzima yenye afya njema, na hata hiyo ya pili tukimuuliza inaitwaje anaweza Kututajia jina tofauti na la mwanzo!!
 
Back
Top Bottom