Axel Lloyd JF-Expert Member Joined Sep 10, 2017 Posts 4,170 Reaction score 9,500 May 13, 2022 #21 The Sunk Cost Fallacy said: Kuna Makombora fulani kutoka UK ,,Ukr ndio wanayatumia kushambulia yaani ni mwiba kwa Russia Click to expand... Brimstone missiles
The Sunk Cost Fallacy said: Kuna Makombora fulani kutoka UK ,,Ukr ndio wanayatumia kushambulia yaani ni mwiba kwa Russia Click to expand... Brimstone missiles
Gobole JF-Expert Member Joined Dec 29, 2013 Posts 1,806 Reaction score 4,670 May 13, 2022 #22 Mtoa post mbona hujaweka video au picha ya hio meli inayoungua?
Siri ya sifuri JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 2,335 Reaction score 1,967 May 13, 2022 #23 Morogoro kaskazini said: Kwanza kabla hii ya nne hivi ile ya tatu mbona hamjaweka picha ha ha ha ha ha ha Habari mpya usiku huu kamanda mwingine wa marekani ameuawa huko maikolaiv Click to expand... huyu bwana analalizimisha tusimwamini, Meli ya tatu hatukuiyona kabisa na hii ya nne katuwekea nzima yenye afya njema, na hata hiyo ya pili tukimuuliza inaitwaje anaweza Kututajia jina tofauti na la mwanzo!!
Morogoro kaskazini said: Kwanza kabla hii ya nne hivi ile ya tatu mbona hamjaweka picha ha ha ha ha ha ha Habari mpya usiku huu kamanda mwingine wa marekani ameuawa huko maikolaiv Click to expand... huyu bwana analalizimisha tusimwamini, Meli ya tatu hatukuiyona kabisa na hii ya nne katuwekea nzima yenye afya njema, na hata hiyo ya pili tukimuuliza inaitwaje anaweza Kututajia jina tofauti na la mwanzo!!