Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
I LOVE YEMENWatajibu nini zaidi ya kushambulia Yemen, wameingia kwenye mtego wa Wayemen, Qatar na Saudia waliwambia msiwashambulie hawa mashambuliizi hayawezi kuwazuia kitu hawa, tunawajua hawa ni wehu wa vita Marekani na Uingereza wakaleta ubabe wa kizamani ndoani imekwama lawama anapewa Iran wanamwambia anawapa makombora, uzuri wa hii vita inapiganiwa baharani😂
Hii baki nayo kwenye familia yako uwasimulie watoto wako. Siku nyingine usiandike mambo ya imani yako kwenye vitu serious.Miongoni mwa Unabii wa mtume kuhusu siku mwisho , dalili mojawapo ni "MOTO KUTOKA YEMENI"
Isije ikawa ndo tumeanza kuona mwanzo!
Aise wewe unaishi wapi? Marekani na Uingereza wanawashambulia sana tafuta habari usipitwe unaonekana bado upo nyuma sana.Vita gani wanashambulia tu wao?
Subiri nao wakianza kurushiwa makombora kata funua...
Aise wewe unaishi wapi? Marekani na Uingereza wanawashambulia sana tafuta habari usipitwe unaonekana bado upo nyuma sana.
Unaposema capacity kubwa unamaanisha kuua watoto na wanawake? Au kubomoa miundombinu? Fafanua capacity kubwa ni ipiHawajajibu mashambulizi kwa capacity kubwa, walilenga baadhi ya targets tu...
Unaposema capacity kubwa unamaanisha kuua watoto na wanawake? Au kubomoa miundombinu? Fafanua capacity kubwa ni ipi
Ina maana hufuatllii habari kiasi cha kujua kuwa Houthi anapigwa makombora na US na UK? bila shaka capacity kubwa unamaanisha ka yale yaliyotokea GazaHeavy bombing...
Kuua watoto au wanawake sio vita hiyo, hayo ni mauaji ya halaiki...
Sawa Sawa TakbirHahahaha unadhani Yemen ni Gaza😂
Walishafanya mashambulizi wamechemka red sea bado haipitiki na wanaomba msaada china sasahivi famasialaUnachekelea?Ngoja wajibu mapigo.Msiende ICJ kujiliza.
Tabu ipo palepale red sea haipitikiTaarifa ya habar 6/5/2024
SA yaipeleka UK ICJ
Tar 8/7/2024
Gutteres amuomba Rish Sunak apunguze mashambulizi Yemen
Tar 9/8/2024
Baraza la usalama la Umoja wa mataifa limekaaa kuangaalia namna bora ya kuwasaidia wakimbizi kutoka Yemen
Hata houth hawajapiga kwa capacity kubwa wanaenda kwa stage.Hawajajibu mashambulizi kwa capacity kubwa, walilenga baadhi ya targets tu...
Ndiyo ulivyodanganyika?Walishafanya mashambulizi wamechemka red sea bado haipitiki na wanaomba msaada china sasahivi famasiala