Meli ya Uingereza yalipuliwa na Houthis ilikuwa imebeba mafuta ya ndege

Meli ya Uingereza yalipuliwa na Houthis ilikuwa imebeba mafuta ya ndege

Meli za kivita za Uingereza haziwezi kushambulia shabaha za Houthi kwenye nchi kavu kwa sababu hazina nguvu za moto, The Telegraph inaripoti.

Hakuna hata mmoja wa waharibifu au frigates za Jeshi la Wanamaji wa Kifalme wanaoweza kurusha makombora kuelekea ardhini, na hivyo kuacha Jeshi la Wanamaji la Marekani kutekeleza mashambulizi yake mengi kwenye shabaha za Houthi, zikisaidiwa na ndege za Jeshi la Wanahewa la Kifalme umbali wa maili. 1,500.
Meli zenyewe zinaitwa Her majesty ships halafu utegemee iwe na kifua cha kutuma kombora umbali wote huo! Wingereza hua ni wapiga kelele bila Marekani hata South Africa anakomaa nae bizuri tu
 
Wanakumbi.

Kumekucha tena bahari nyekundu imechafuka Wayemeni wanapambana na Magaidi Marekani na Uingereza safi sana.

Biden, anaomba msaada China kupambana na Yemen anaulizwa kwa wao wanapigana sababu gani anasema tu hawa ni magaidi China kamwambia basi endelea na vita.

Yule Muhindi wa Uingereza yeye wakati anashambulia Yemen alijitoa ufahamu akasema hii vita aina uhusiano na vita vya Gaza basi wandelee kumlinda Zayuni waone balaa lake.

Meli ya Uingereza iliyogongwa na Houthis imebeba mafuta ya ndege

Waandishi wa habari wa baharini wanasema meli ya Uingereza ya Marlin Luanda inabeba mafuta ya ndege ya Naptha, ambayo yanaweza kuwaka sana.

Iwapo meli hii itazama, itakuwa meli ya kwanza kuzamishwa na mashambulizi ya Yemen


View: https://x.com/megatron_ron/status/1751051387968852170?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Wayemeni walisema mmeyakanyaga, sisi tulikuwa hatutumii silaha za kuharibu meli au kuhatarisha maisha, tulikua tunatumia silaha za kuwatisha meli zigeuze. Mmeua watu wetu lazima damu yao ilipweSasa mmeuwa watu wetu. lazima damu yao ilipwe na sasa hatujali meli ya mazayuni, magaidi wa US na Uingereza inaenda wapi, hapa haikatizi salama.

Hiyo imeetandikwa na meli zote zinazojidai za ulinzi zipo, za nchu kama 10. Kulikoni hawazioni misaili za kutengeza tabata za Sanaa?

Wanasema wataivamia Yemn, Wayemeni wamesema huku ndiko haswa tunawasubiri, njooni tu, sisi tupo tayari wakati wote.


Mimi nasema waende tu, si wababe wao, kama hawajatoka maiti.
Hao mpaka wanawake zao toka wanazaliwa wanachezea vyombo, machine gun kwao unanunua kama pipi:


View: https://youtu.be/dbU37lo5fV4?si=t8iB7uKkihihyTLE
 
Breaking | CNN reports that three US service members are dead and at least two dozen are injured in a drone attack on a military base in northern Jordan.
 
Breaking | CNN reports that three US service members are dead and at least two dozen are injured in a drone attack on a military base in northern Jordan.
Hii nayo kali, hao wa Jordan vibaraka wa Marekani kama Saudi Arabia. Watakoma ubishi, wahouthi nao wakiliansha Saudia. Maana Wamarekani wana base na interest zao nyingi Saudia. Hii vita lazima Mmarekani atambae kwa kujifanya yupo karibu sana na mazayuni.

Scott Ritter nae anasema Mrussi kisha weka base yake mpaka wa Djibouti na Somalia. Kimbembe hiki.
 
Hii nayo kali, hao wa Jordan vibaraka wa Marekani kama Saudi Arabia. Watakoma ubishi, wahouthi nao wakiliansha Saudia. Maana Wamarekani wana base na interest zao nyingi Saudia. Hii vita lazima Mmarekani atambae kwa kujifanya yupo karibu sana na mazayuni.

Scott Roter nae anasema Mrussi kishwake base yake mpaka wa Djibouti na Somalia. Kimbembe hiki.
Marekani wanalia na Iran tu wanajitoa ufahamu wao si wapo Mazayuni wapambane tu Iraq hawatakiwi wameambiwa watoe majeshi yako Miraq anamuita Putin.
 
⚡️United States of America: President Joe Biden:

The attack that led to the death of 3 American soldiers was carried out by “Iranian-backed extremist groups” operating in #Syria and Iraq
 
Kumbe vifo vinauma Media zote za
Marekani na Ulaya wanalia msiba wa Askari watatu na majeruhi 25.

Gaza wamekufa watu 28.000 wanaonekana wamekufa kuku.

Hawa magaidi Marekani na wenzake wakifa hivi sawa.
 
⚡️#YEMEN: Reports of a "serious security incident" near the Bab al-Mandab Strait.
 
⚡️United States of America: President Joe Biden:

The attack that led to the death of 3 American soldiers was carried out by “Iranian-backed extremist groups” operating in #Syria and Iraq
Hawa mashetani wanataka wauwe wenzao tu, wakiuliwa wao huwa mwao.
 
Hezbollah huko kaskazini wanazidi kuwatesa mazayuni wamefunguliwa mvua ya missiles kutwa kucha. halafu hawapigi hovyo, wao wanalenga target za kijeshi tu:





Hapo ndipo tunapojiuliza "iro dome" yao iko wapi? Au Hexollah wameshaisambaratisha?
 
Imefahamika kua Bse ya wamarekani iliypigwa na kuua wamarekani3 na kujetruhi wengine wendi sana haipo Jordsn ipo Syria.

Cha kushangaza kwanini Media zote kubwa zimetangaza kuwa ipo Jordan?

Marekani toka lianzishwe 7 Oktoba wameshashambuliwa mara 170 katika base zao tofauti zilizopo mashariki ya kati lakini hawatangazi au wanatangaza kidogo sana. Kwanini hii waitangaze sana na waseme uongo kua ipo Jordan>

Jordan wamekanusha hilo na kusema hakuna base iliyoshambuliwa opote ndani ya Jordan.

Wamarekani na mazayuni sijui kuna nini wanakichimba Mashariki ya Kati?.

Na huku Afrika wameshaanza kusogea kwa kasi, ukiona mwenzako ananyolewa, tia maji zako.
 
Back
Top Bottom