Meli ya Uingereza yalipuliwa na Houthis ilikuwa imebeba mafuta ya ndege

Miongoni mwa Unabii wa mtume kuhusu siku mwisho , dalili mojawapo ni "MOTO KUTOKA YEMENI"
Isije ikawa ndo tumeanza kuona mwanzo!
Halafu naona huu mziki ni mkubwa sana maana USA anataka kusogeza nuclear weapons Uingereza kwa mara ya kwanza baada ya miaka 15
Yote hii kujiandaa na kumuogopa Russian sio mwingine
Leo kila radio na TV na magazeti yameandikwa

Huku kunafukuta
 
Wajibu kwa kuuwa wanawake na watoto? Fafanua. Vizuri
Waue tu.Dawa ya gaidi ni kufanya assessment ya hasara atakayoipata atakapo amua kuwa gaidi.Kwa ujumla anachokifanya Israel ndo kinachotakiwa kufanywa kwa magaidi.Gaidi apoteze mama,apoteze baba, apoteze babu, apoteze bibi,apoteze shangazi, apoteze mjomba, apoteze mke, apoteze watoto apoteze binamu na kadhalika.Lakini hii ya kumuacha gaidi anaua bila ya yeye kudhulika haisaidii
 
Mpumbavu ktk ubkra wako. Kwanza nenda kajifunze nini maana ya gaidi alafu uje tujadiliane kati ya Israel na Hamas nani ni gaidi bila kutumia akili ya kukalilishwa
 
Apeleke tu ila msije kulalamika humu na wengine wakianza kuzipeleka ktk maeneo yao pendwa
 



Your browser is not able to display this video.
 
Meli za kivita za Uingereza haziwezi kushambulia shabaha za Houthi kwenye nchi kavu kwa sababu hazina nguvu za moto, The Telegraph inaripoti.

Hakuna hata mmoja wa waharibifu au frigates za Jeshi la Wanamaji wa Kifalme wanaoweza kurusha makombora kuelekea ardhini, na hivyo kuacha Jeshi la Wanamaji la Marekani kutekeleza mashambulizi yake mengi kwenye shabaha za Houthi, zikisaidiwa na ndege za Jeshi la Wanahewa la Kifalme umbali wa maili. 1,500.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…