Hahahhahah ππππ Wameiteka Red Sea daaah.Mzuka wanajamvi,
Naanza kwa kucheka hahaha kwikwikwi.
Meli ya uvuvi ya Iran Almeraj 1 imetekwa na maharamia ya Kisomali ambao wanadai usd 400000 ili kuichia pamoja na wavuvi wake.
Kumbuka Kwenye hiyohiyo bahari nyekundu Iran wanatumia wanamgambo wa Houthi kuteka meli za wateule Israel na Marekani na wao Iran Shiite sasa hivi wanatekwa na meli zao kutoka waislamu madhehebu ya sunni wasomali.
Hapa Patamu Shia vs Sunni.
Maharamia wasomali kamateni hapohapo msiachie.
Alwaz Ritz incharge ITR
JUSTICE FOR JOSHUA AND CLEMENCE.
Ngoja wavaa pedo waje hapa waseme ' wasomali maharamia teule'Mzuka wanajamvi,
Naanza kwa kucheka hahaha kwikwikwi.
Meli ya uvuvi ya Iran Almeraj 1 imetekwa na maharamia ya Kisomali ambao wanadai usd 400000 ili kuichia pamoja na wavuvi wake.
Kumbuka Kwenye hiyohiyo bahari nyekundu Iran wanatumia wanamgambo wa Houthi kuteka meli za wateule Israel na Marekani na wao Iran Shiite sasa hivi wanatekwa na meli zao kutoka waislamu madhehebu ya sunni wasomali.
Hapa Patamu Shia vs Sunni.
Maharamia wasomali kamateni hapohapo msiachie.
Alwaz Ritz incharge ITR
JUSTICE FOR JOSHUA AND CLEMENCE.
Yani ujuaji wote hufahamu. Hujui somali inabahari ya red se kaskazini ukivuka unaingia Yemen na Saudi Arabia.Hahahhahah ππππ Wameiteka Red Sea daaah.
Shule shule. Shule.
Kwa hiyo hao wasomali walitoka bahari ya Hindi wakaenda kuteka meli bahari nyekunduπ
Ndio umeona story ya kuja humu?Mzuka wanajamvi,
Naanza kwa kucheka hahaha kwikwikwi.
Meli ya uvuvi ya Iran Almeraj 1 imetekwa na maharamia ya Kisomali ambao wanadai usd 400000 ili kuichia pamoja na wavuvi wake.
Kumbuka Kwenye hiyohiyo bahari nyekundu Iran wanatumia wanamgambo wa Houthi kuteka meli za wateule Israel na Marekani na wao Iran Shiite sasa hivi wanatekwa na meli zao kutoka waislamu madhehebu ya sunni wasomali.
Hapa Patamu Shia vs Sunni.
Maharamia wasomali kamateni hapohapo msiachie.
Alwaz Ritz incharge ITR
JUSTICE FOR JOSHUA AND CLEMENCE.
Jibu swali hiyo meli imetekwa wapi? Sijakuambiia unitajie nchiYani ujuaji wote hufahamu. Hujui somali inabahari ya red se kaskazini ukivuka unaingia Yemen na Saudi Arabia.
Acha ubishi bro. Kibao kimewageukia. Wasomali komaeni hapohapo msiiachie hiyo meli ya waajemi.Jibu swali hiyo meli imetekwa wapi? Sijakuambiia unitajie nchi
Dogo yani huoni kabisa cha ajabu hapo. Yani kwenye hiyo iyo bahari Houthi wanateka meli za wateule nao wanalizwa na vikundi vya kiharamia. Big up somali pirates.
uharo mtupu.Acha ubishi bro. Kibao kimewageukia. Wasomali komaeni hapohapo msiiachie hiyo meli ya waajemi.
We tulia acha kuita madogo watu usio wajua,watu tuna watoto majumbani unatuita madogo utakuja upakatwe mchana kweupe.Dogo yani huoni kabisa cha ajabu hapo. Yani kwenye hiyo iyo bahari Houthi wanateka meli za wateule nao wanalizwa na vikundi vya kiharamia. Big up somali pirates.
Kwaweli sasa dunia imevaa chupi kichwaniMzuka wanajamvi,
Naanza kwa kucheka hahaha kwikwikwi.
Meli ya uvuvi ya Iran Almeraj 1 imetekwa na maharamia ya Kisomali ambao wanadai usd 400000 ili kuichia pamoja na wavuvi wake.
Kumbuka Kwenye hiyohiyo bahari nyekundu Iran wanatumia wanamgambo wa Houthi kuteka meli za wateule Israel na Marekani na wao Iran Shiite sasa hivi wanatekwa na meli zao kutoka waislamu madhehebu ya sunni wasomali.
Hapa Patamu Shia vs Sunni.
Maharamia wasomali kamateni hapohapo msiachie.
Alwaz Ritz incharge ITR
JUSTICE FOR JOSHUA AND CLEMENCE.
Hahaha πππ€£We tulia acha kuita madogo watu usio wajua,watu tuna watoto majumbani unatuita madogo utakuja upakatwe mchana kweupe.
Sasa hiyo meli ya wavuvi ina athari gani kwa uchumi wa Iran ukilinganisha ni meli zilizo zuiliwa kwenda Israel?
Kwanza hiyo hela wanayo itaka ni ndogo sana.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
By the way, ni story ya mwezi Novemba ingawa meli bado inashikiliwa ila hostages wameachiwa.Mzuka wanajamvi,
Naanza kwa kucheka hahaha kwikwikwi.
Meli ya uvuvi ya Iran Almeraj 1 imetekwa na maharamia ya Kisomali ambao wanadai usd 400000 ili kuichia pamoja na wavuvi wake.
Kumbuka Kwenye hiyohiyo bahari nyekundu Iran wanatumia wanamgambo wa Houthi kuteka meli za wateule Israel na Marekani na wao Iran Shiite sasa hivi wanatekwa na meli zao kutoka waislamu madhehebu ya sunni wasomali.
Hapa Patamu Shia vs Sunni.
Maharamia wasomali kamateni hapohapo msiachie.
Alwaz Ritz incharge ITR
JUSTICE FOR JOSHUA AND CLEMENCE.
Hujui kwamba kabla ya kuingia Red Sea ni lazima upite Gulf of Aden?Hahahhahah ππππ Wameiteka Red Sea daaah.