Meli ya uvuvi ya Iran yatekwa na maharamia ya kisomali

Meli ya uvuvi ya Iran yatekwa na maharamia ya kisomali

Hahahhahah [emoji23][emoji3][emoji3][emoji3] Wameiteka Red Sea daaah.

Shule shule. Shule.

Kwa hiyo hao wasomali walitoka bahari ya Hindi wakaenda kuteka meli bahari nyekundu[emoji23]

Binti Rita zainabu !!

somalia iko upande wa bahari ya hindi
na kuna upande upo upande wa red sea ambako ndo kuna somaliland na kupakana na puntland

binti Rita zainabu shule hunaga kabisa
 
Binti Rita zainabu !!

somalia iko upande wa bahari ya hindi
na kuna upande upo upande wa red sea ambako ndo kuna somaliland na kupakana na puntland

binti Rita zainabu shule hunaga kabisa
Hayo hayafundishwi madrassa kule ni judo na namna ya kutumia AK47 Assault Rifle ili kukuweka tayari kwa Global Jihad Mission.
 
Mzuka wanajamvi,

Naanza kwa kucheka hahaha kwikwikwi.

Meli ya uvuvi ya Iran Almeraj 1 imetekwa na maharamia ya Kisomali ambao wanadai usd 400000 ili kuichia pamoja na wavuvi wake.

Kumbuka Kwenye hiyohiyo bahari nyekundu Iran wanatumia wanamgambo wa Houthi kuteka meli za wateule Israel na Marekani na wao Iran Shiite sasa hivi wanatekwa na meli zao kutoka waislamu madhehebu ya sunni wasomali.

Hapa Patamu Shia vs Sunni.

Maharamia wasomali kamateni hapohapo msiachie.

Alwaz Ritz incharge ITR

JUSTICE FOR JOSHUA AND CLEMENCE.
Unaelewa unachoshabikia?
 
Back
Top Bottom