Fascinating
Senior Member
- May 14, 2025
- 146
- 351
Wizara ya Miundombinu ya Ukraine imesema kuwa shambulio la ndege isiyo na rubani ya Urusi dhidi ya meli yenye bendera ya Tanzania, iliyokuwa ikielekea bandari ya Ukraine, limesababisha kifo cha nahodha wa meli hiyo na kuwajeruhi wafanyakazi watatu.
Meli hiyo iliyokuwa ikisafiri chini ya bendera ya Tanzania ilipigwa katika shambulio la Alhamisi, ambapo nahodha aliuawa na wafanyakazi watatu kujeruhiwa.
Wizara ya Miundombinu ya Ukraine ilitoa taarifa hiyo kupitia Telegram, ikieleza hali iliyokuwa baada ya shambulio hilo. Wizara hiyo pia ilisema juhudi zinaendelea kubaini hali ya meli hiyo iliyoharibiwa.
Maelezo zaidi yanatarajiwa huku mamlaka zikiendelea kufuatilia tukio hilo na kubaini kiwango cha uharibifu uliosababishwa na shambulio hilo.
Tukio hili linafuatia shambulio lingine la awali la tarehe 14 Julai 2026 ambapo Russia ilishambulia meli ya kibiashara iliyokuwa imebeba chakula karibu na pwani ya Odesa. Meli hiyo ya ATLAS BE, iliyokuwa ikisafiri chini ya bendera ya Tanzania kutoka Chornomorsk kuelekea Uturuki ikiwa na shehena ya unga wa alizeti, ilipigwa na ndege isiyo na rubani ya Urusi inayotumia injini ya jeti. Shambulio hilo lilisababisha moto kwenye meli na kifo cha mfanyakazi mmoja. Hiyo haikuwa meli ya vita, bali ilikuwa meli ya kibiashara ya raia iliyobeba bidhaa za chakula kupitia Bahari Nyusi.
Urusi inaita hii kuwa ni vita, lakini kwa vitendo inamaanisha makombora na ndege zisizo na rubani dhidi ya bandari, nafaka, wafanyakazi, meli za mizigo, na njia zinazosaidia kulisha watu walio mbali sana na Ukraine.
Link1 Link2
============
Russian forces attacked a Tanzania-flagged vessel while en route to one of Ukraine's ports, killing the captain and injuring three crew members.
The Ministry for Restoration, Infrastructure and Transport of Ukraine reported this on Telegram, according to Ukrinform.
"Russia continues to attack civilian shipping in the Black Sea. On September 17, while en route to one of Ukraine's ports, a Tanzania-flagged vessel was attacked by a Russian UAV," the ministry said.
According to the ministry, the strike killed the vessel's captain and injured three other crew members. Information on the vessel's condition is being clarified.
The ministry called on the international community to respond appropriately to Russia's systematic attacks on Ukrainian ports, port infrastructure and civilian merchant vessels. It also said it expected further coordinated action to strengthen the protection of civilian shipping and the security of international logistics routes.
The strike occurred on 17 September. Information is currently being gathered on the condition of the vessel.
Source: Al Arabiya, Asharq Al Awsat, Ukrinform, Ukrainska pravda