Waziri wa Kaskazini
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 8,711
- 19,296
Aiseeeeeeeeeee
Tanzania ni shamba la bibi.Wazanzibari wanalitumia vibaya sana jina la Tanzania.
Ni muhimu kuachana na huu muungano ili Zanzibar iwe huru kutumia jina la Zanzibar kwenye meli za washirika wake.
Zanzibar siwana bendera yao lakin?Zanzibar wao Wanatumia Open Registry(FOC) ambapo mtu yeyote anaweza sajili meli hata kama si mzawa.
Wizi uko upande huu!!!
Halafu hao wenye Open Registry hawatumii benders yao, wanatumia ya Tz!Usajili upo wa aina 2 closed and opend Registry. Tanzania sisi ni muungano wa Tanzania bara na Zanzibar,Tanzania Bara tunatumia Closed Registry inayotaka owner lazima awe mzawa au share kuanzia 51%.
Zanzibar wao Wanatumia Open Registry(FOC) ambapo mtu yeyote anaweza sajili meli hata kama si mzawa. Hii wamiliki wengi duniani wanapenda sababu ina favour nyingi kibiashara na haina usumbufu. Pia ni chanzo kikubwa cha mapato kwa nchi husika. Nchi kama Liberia,Panama,Hong Kong na Honduras ndio zinaongoza kwa usajili wa meli wa open registry.
Russian forces attacked a Tanzania-flagged vessel while en route to one of Ukraine's ports, killing the captain and injuring three crew members.
The Ministry for Restoration, Infrastructure and Transport of Ukraine reported this on Telegram, according to Ukrinform.
Bendera ya Tanzania ni moja hiyo ndio inatumikaHalafu hao wenye Open Registry hawatumii benders yao, wanatumia ya Tz!
Huu muungano ni wa 'hovyo' sana
Taifa ambalo bendera yake inatumika mara kwa mara kwenye meli za kiharamia na halitoi tamko.
Ila vijihabari uchwara vikizuka utaona kiongozi mmoja anavyo tokwa povu kukanusha na kitishia vijana wasipost mitandaoni
ok.🐒Wizara ya Miundombinu ya Ukraine imesema kuwa shambulio la ndege isiyo na rubani ya Urusi dhidi ya meli yenye bendera ya Tanzania, iliyokuwa ikielekea bandari ya Ukraine, limesababisha kifo cha nahodha wa meli hiyo na kuwajeruhi wafanyakazi watatu.
Meli hiyo iliyokuwa ikisafiri chini ya bendera ya Tanzania ilipigwa katika shambulio la Alhamisi, ambapo nahodha aliuawa na wafanyakazi watatu kujeruhiwa.
Wizara ya Miundombinu ya Ukraine ilitoa taarifa hiyo kupitia Telegram, ikieleza hali iliyokuwa baada ya shambulio hilo. Wizara hiyo pia ilisema juhudi zinaendelea kubaini hali ya meli hiyo iliyoharibiwa.
Maelezo zaidi yanatarajiwa huku mamlaka zikiendelea kufuatilia tukio hilo na kubaini kiwango cha uharibifu uliosababishwa na shambulio hilo.
Tukio hili linafuatia shambulio lingine la awali la tarehe 14 Julai 2026 ambapo Russia ilishambulia meli ya kibiashara iliyokuwa imebeba chakula karibu na pwani ya Odesa. Meli hiyo ya ATLAS BE, iliyokuwa ikisafiri chini ya bendera ya Tanzania kutoka Chornomorsk kuelekea Uturuki ikiwa na shehena ya unga wa alizeti, ilipigwa na ndege isiyo na rubani ya Urusi inayotumia injini ya jeti. Shambulio hilo lilisababisha moto kwenye meli na kifo cha mfanyakazi mmoja. Hiyo haikuwa meli ya vita, bali ilikuwa meli ya kibiashara ya raia iliyobeba bidhaa za chakula kupitia Bahari Nyusi.
Urusi inaita hii kuwa ni vita, lakini kwa vitendo inamaanisha makombora na ndege zisizo na rubani dhidi ya bandari, nafaka, wafanyakazi, meli za mizigo, na njia zinazosaidia kulisha watu walio mbali sana na Ukraine.
View attachment 3672440
Link1 Link2
============
Russian forces attacked a Tanzania-flagged vessel while en route to one of Ukraine's ports, killing the captain and injuring three crew members.
The Ministry for Restoration, Infrastructure and Transport of Ukraine reported this on Telegram, according to Ukrinform.
"Russia continues to attack civilian shipping in the Black Sea. On September 17, while en route to one of Ukraine's ports, a Tanzania-flagged vessel was attacked by a Russian UAV," the ministry said.
According to the ministry, the strike killed the vessel's captain and injured three other crew members. Information on the vessel's condition is being clarified.
The ministry called on the international community to respond appropriately to Russia's systematic attacks on Ukrainian ports, port infrastructure and civilian merchant vessels. It also said it expected further coordinated action to strengthen the protection of civilian shipping and the security of international logistics routes.
The strike occurred on 17 September. Information is currently being gathered on the condition of the vessel.
Source: Al Arabiya, Asharq Al Awsat, Ukrinform, Ukrainska pravda
Dunoo bro! Tell me what it is and how it operatesDon't you know about the connection with Azeris ???
Sisi kama Tanzania turudishe Mashambulizi kwa RussiaWizara ya Miundombinu ya Ukraine imesema kuwa shambulio la ndege isiyo na rubani ya Urusi dhidi ya meli yenye bendera ya Tanzania, iliyokuwa ikielekea bandari ya Ukraine, limesababisha kifo cha nahodha wa meli hiyo na kuwajeruhi wafanyakazi watatu.
Meli hiyo iliyokuwa ikisafiri chini ya bendera ya Tanzania ilipigwa katika shambulio la Alhamisi, ambapo nahodha aliuawa na wafanyakazi watatu kujeruhiwa.
Wizara ya Miundombinu ya Ukraine ilitoa taarifa hiyo kupitia Telegram, ikieleza hali iliyokuwa baada ya shambulio hilo. Wizara hiyo pia ilisema juhudi zinaendelea kubaini hali ya meli hiyo iliyoharibiwa.
Maelezo zaidi yanatarajiwa huku mamlaka zikiendelea kufuatilia tukio hilo na kubaini kiwango cha uharibifu uliosababishwa na shambulio hilo.
Tukio hili linafuatia shambulio lingine la awali la tarehe 14 Julai 2026 ambapo Russia ilishambulia meli ya kibiashara iliyokuwa imebeba chakula karibu na pwani ya Odesa. Meli hiyo ya ATLAS BE, iliyokuwa ikisafiri chini ya bendera ya Tanzania kutoka Chornomorsk kuelekea Uturuki ikiwa na shehena ya unga wa alizeti, ilipigwa na ndege isiyo na rubani ya Urusi inayotumia injini ya jeti. Shambulio hilo lilisababisha moto kwenye meli na kifo cha mfanyakazi mmoja. Hiyo haikuwa meli ya vita, bali ilikuwa meli ya kibiashara ya raia iliyobeba bidhaa za chakula kupitia Bahari Nyusi.
Urusi inaita hii kuwa ni vita, lakini kwa vitendo inamaanisha makombora na ndege zisizo na rubani dhidi ya bandari, nafaka, wafanyakazi, meli za mizigo, na njia zinazosaidia kulisha watu walio mbali sana na Ukraine.
View attachment 3672440
Link1 Link2
============
Russian forces attacked a Tanzania-flagged vessel while en route to one of Ukraine's ports, killing the captain and injuring three crew members.
The Ministry for Restoration, Infrastructure and Transport of Ukraine reported this on Telegram, according to Ukrinform.
"Russia continues to attack civilian shipping in the Black Sea. On September 17, while en route to one of Ukraine's ports, a Tanzania-flagged vessel was attacked by a Russian UAV," the ministry said.
According to the ministry, the strike killed the vessel's captain and injured three other crew members. Information on the vessel's condition is being clarified.
The ministry called on the international community to respond appropriately to Russia's systematic attacks on Ukrainian ports, port infrastructure and civilian merchant vessels. It also said it expected further coordinated action to strengthen the protection of civilian shipping and the security of international logistics routes.
The strike occurred on 17 September. Information is currently being gathered on the condition of the vessel.
Source: Al Arabiya, Asharq Al Awsat, Ukrinform, Ukrainska pravda
😂😂😂Taifa ambalo bendera yake inatumika mara kwa mara kwenye meli za kiharamia na halitoi tamko.
Ila vijihabari uchwara vikizuka utaona kiongozi mmoja anavyo tokwa povu kukanusha na kitishia vijana wasipost mitandaoni
😂😂😂Makonda alishirikishwa ? Amekubaliana na quality ya hiyo Meli ?
Tanzania hatuma meli ypyote ya kufanya biashara au shughuri zozote za kimataifa ..meli karibu zote unazo sikia zimesajiliwa tz ni kweli nyingi zimesajiliwa ila ni meli za magenge ya kimataifa ya kihalifu kama magenge ya madawa ya kulevya...wauza silaha haramu ...magenge ya kijangiri nkWizara ya Miundombinu ya Ukraine imesema kuwa shambulio la ndege isiyo na rubani ya Urusi dhidi ya meli yenye bendera ya Tanzania, iliyokuwa ikielekea bandari ya Ukraine, limesababisha kifo cha nahodha wa meli hiyo na kuwajeruhi wafanyakazi watatu.