Meli yenye Bendera Ya Tanzania Imeshambuliwa na Drone ya Russia

Tanzania hatuma meli ypyote ya kufanya biashara au shughuri zozote za kimataifa ..meli karibu zote unazo sikia zimesajiliwa tz ni kweli nyingi zimesajiliwa ila ni meli za magenge ya kimataifa ya kihalifu kama magenge ya madawa ya kulevya...wauza silaha haramu ...magenge ya kijangiri
KWANI ROSTAM AZIXI ANAISHI NCHI GANI?
 
Tanzania hatuma meli ypyote ya kufanya biashara au shughuri zozote za kimataifa ..meli karibu zote unazo sikia zimesajiliwa tz ni kweli nyingi zimesajiliwa ila ni meli za magenge ya kimataifa ya kihalifu kama magenge ya magawa ya kulevya...wauza silaha haramu ...magenge ya kijangiri
KWANI ROSTAM AZIXI ANAISHI NCHI GANI
 
Kuna meli nyingi zina bendera yetu hata hazitoko kwetu
Kuisajili meli sio lazima itoke kwetu wala tuwe na ukaribu wa mmiliki. Kwenye open Registry yeyote anaweza kusajili meli bila kuangalia anatokea wapi au ana fanya biashara zipi.
 
Natamani kwenye hiyo meli ungekuwepo uongozi wa taifa wa ccm.
 
Kwenye vita hakuna positive assuptions, lazima u assume negatively all the time always. Maana adui huwa anatumia vitu positive kufanya vitu negative. Jambazi anaweza kutumia mchezo wa pool kupanga wapi akaibe, jasusi anaweza kutumia njia ya msaada kuja kukuangamiza. Adui anaweza kutumia maandamano ya amani kufanya mapinduzi ya serikali.

Kivita Urusi wako sahihi kuzipoga hizo meli maana hawakutaka ku assume kuwa ni meli za unga za tanzania kumbe bendera nchi ya tz imewekwa kuzugia tu kusafirisha silaha au mamluki.
 
Sajili nyingi za hovyo za meli kutumia bendera yetu huwa zinafanyika Zanzibar.
 
Itakuwa kuna meli nyingi Zimesajiliwa Tz na zinaendeshwa na maharamia mbili zilikamatwa na madawa ya kulevya
hii ilibeba misosi imelipuliwa na Putin?!
Huo unga hiyo meli ilikuwa imebeba wanasema wa Nafaka wote.

Kuna uwezekano wote ni unga wa nafaka na pia kuna uwezekano kuwa siyo wote ni wa nafaka.

All in all, hata safari za kumuona Putin hazijasaidia hizo zenye bendera ya Tanzania zisishambuliwe.

Je huo “unga wa nafaka” umetokea Ukraine?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…